Eti na yeye anaomba air time na coverage.

b191

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
742
1,031
Amani na Upendo viwe nasi sote.

Ndugu zangu nimeshangazwa sana na Baba J. Eti anaomba Air Time na Coverage.

Baba J amesahau kuwa hao anaowaomba Air Time na Coverage ama wao au ndugu zao wamemchoka kwa sababu;

1. Hakuna ajira

2. Hakuna nyongeza ya mshahara

3. Mikopo ni kidogo kwa wanachuo

4. Hakuna huduma za uhakika hosiptalini

5. Pia wamegundua kuwa;

a). Hana jipya
b). Ni muongo
c). Mnafiki

Mengine utaongezea.

Usipobadilika Baba J utalialia sana.

Nawasilisha.
 
Mzee mambo yamekua magumu sasa ni vitisho tu..Ukiona mtu anatishiatishia jua mambo magumu
 
Hizi post za hovyo .....tafuta za kujenga maendeleo na kukwamua watu..Sio za kijinga kama hii...haisaidii...
Hapa kazi tu! Hakuna kufungua maduka au shughuli mpaka saa nne kila jumamosi!!! Ni siku ambayo watu wanahitaji kufanya shopping mapema na warudi majumbani kufanya shughuli zao! Huo muda ni wa wafanyibiashara kujiingizia kipato mmewabana wanalipa ada za usafi (huduma za jiji) kwa ajili ya nini? Je tulipokuwa shule za msingi na sekondari tulifanya usafi kuanzia saa moja hadi saa NNE???!!! Tafakari
 
Kwan tbc medias na uhuru medias hazitoshi kwa coverage zinazompa? Au anajua kuwa huwa hazina wasikilizaji na watazamaji
 
Msemakweli kadanganya nini. Kama meli mmeshaambiwa 30. Nagari ni mapya siyo ya znz. Hajadanganya tumuombee.

1. Meli ni 16 tu na hapo inawezekana zilihesabiwa na zile za matajiri wa bongo ambazo zinatoka Da r to Zanzibar

2. Gari sina uhakika kama ni mpya. Ila ni gari gani inayokuja ikiwa tayari na plate namba?
 
Enyi magamba watiifu, hii nchi si yenu peke yenu ni yetu sote na ninafikia mahali najiuliza kwanini magamba wanatupeleka shimo la Giza? Hawashauriani? Au ndio bendera fuata upepo?
 
Back
Top Bottom