Eti mwanamke ni mwili wa punda jamani. . . . .

weeeeeee mke wa mt nitakula kwamacho balaa lake sio dogo

mkiva me ckujua kumbe wewe huwa una-iq kubwa hivyo... Madame b shemejiyo wa ukweli. Ndo maana nimeona unaangalia kwa jicho la tatu na ukajua jema na baya. Bravo.
 
mkiva me ckujua kumbe wewe huwa una-iq kubwa hivyo... Madame b shemejiyo wa ukweli. Ndo maana nimeona unaangalia kwa jicho la tatu na ukajua jema na baya. Bravo.

Asante wangu Arushaone.
Ndo hapo ninapokupendea mimi.
 
Last edited by a moderator:
Jana nlikuwa katika daladala mara daladala liliposimama akapanda mama na m zigo hk akiwa amebeba mtoto na wawili wengine akiongoza nao akajitokeza abiria mmoja na kusema "Kweli mwanamke ni mwili wa punda. . . . Je ni kweli mwanamke ni mwili wa punda. . . . . . .

Sio mwili wa punda tuu,bali ni punda kijana!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
kwanini washindwe? Mi naona wametusifia kwamba tupo strong. Tunaweza kubeba vitu vizito na bado tupo vizuri.

Haiwezekani watumie jina la mnyama ambae anadhihakiwa kila kukicha.
Ina mana sisi tumeumbiwa mateso na kupigwapigwa?

Mtoa mada abadilishe kauli yake.
Pengine hata hajasikia,
kaamua kusema lake analolikusudia,ila kwa njia m-badala.
 
ila hata huyo punda tuliyefananishwa nae hajaumbiwa mateso. Sidhani kama kuna kiumbe kiliumbwa kije kiteseke.
 
Si waona ? Ndo maana nikakwambia leo ww mdudu kapanda kichwani! Punde hv umemsifia Camerun , punde unamuitikia dua!

Jamani Jdgmnt!!
Me cna Mdudu wala nini,
Namsifia Prime alichosema.
Au wale walioko magerezani ktk selo za masingle wafanyaje?
 
Yaani kama huyu,mh,nakataa.............

donkey-3.jpg
 
Back
Top Bottom