Eti "Mtoto wa Rugemalira (Escrow) akila Bata na Rihanna"

its not that either! its a state of balance and non expectation, its psychic energy, awareness, creation, feeling and not emotion..!! if you give urself away to another as u suggest, u are setting up to get hurt big time. No one wants a martyr loving them, its creepy. For me,huyu binti ana mvuto banaa..!!
Mvuto no keel anao lakin mvuto is one thing tu unless uniambie nawewe no wakuwaka tamaa chapachapa
 
Unafikir makumbusho unapoish hapa.heshima inastahil ichukue mkondo wake hata unadhan uko alone kwa chatting

Kama huwezi namna ya kutumia JF kaa kando kwanza ujifunze, sio una nukuu watu hovyo na kuwaunganisha na vitu ambavyo hawajaandika...

Hebu kuwa mstaarabu...
 
Kama huwezi namna ya kutumia JF kaa kando kwanza ujifunze, sio una nukuu watu hovyo na kuwaunganisha na vitu ambavyo hawajaandika...

Hebu kuwa mstaarabu...

Dogo naona zarau uaweza lakin naona unaanza leta ligi paka huku demu nimeachana
 
watu8 nakupa muendelezo wa lile jamaa likawekewa mpa ulimi kwenye sikio maana mtoto alikuwa kakolea na kilevi
k.jpg
 
Rihana mwenyewe anaonekana kama haenjoy kuwa na huyo...Hata tabasamu hana, pili amekaa kama anamkwepa asimguse atamchafua....

Amguse hapo! Unawajua mabaunsa wanavyotafuta sifa wangemgombea kama mpira wa kona, halafu angebebwa juu juu mpaka nje.
 
Pamoja na kuogelea kwenye fedha ya baba bado midomo imempauka kiasi hicho, je baba asingekua nacho si ingekuwa balaa...
 
..unaona jinsi maisha yalivyo ironic!...baba zao kijana huyu wanalazimika kutuibia ili watoto wao waweze kuishi maisha kama haya...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom