Bado sijaona wa kumzidi Rihanna

Katika Muziki suala la nani ni bora ni personal preference, hivyo ni halali kwako kuja na hitimisho hilo. Hata hivyo huwezi jua, unaweza kukutana na msanii katika siku zijazo ambaye utavutiwa naye kuliko Rihanna. Endelea ku-enjoy miziki ya mitindo tofauti tofauti utakuja niambia.
 
Hivi huyo Taylor swift anaimba aina gani ya mziki maana sifahamu ngoma yake hata moja ila anasifiwa na wengi. Anaye jua hits zake hata 5 anifahamishe hapa chini ?
Taylor mwanzo alikuwa anaimba Country, ila 2014 akafanya transformation kwenda kwenye Pop kwa kutoa album ya 1989!
Ngoma zake kubwa ni pamoja na Blank Space, Shake it off, Cruel Summer, Style na ngoma ya karibuni inayofanya vizuri ni Anti-Hero toka kwenye Album ya Midnight aliyoitoa mwaka jana October!

Kifupi Taylor Wengi wanamconsider kama Music Industry, ameweza kuvunja records nyingi pamoja na kupata tuzo lukuki. Tour yake aliyoipa jina la Eras Tour imempa mafanikio makubwa huku mapato yake yakikadiriwa kufikia usd 1b na zaidi baada ya Tour kuisha.

Pia mpaka sasa ana monthly listeners takribani milion 101, huku akishika nafasi ya pili baada ya The Weeknd.
 
Ngoma kali kutoka kwa Rihanna
  • Fading
  • Put it up
  • Wild thoughts
  • The monster
  • Fly
  • No love allowed
  • Love the way you lie
  • Man down
  • Needed me
  • What now
  • What's my name
  • Work
  • Teamo
  • Lemon
  • Royalty
  • Unfaithful
  • Rehab
  • We ride
  • Live your life
  • Run this town
  • Talk that talk
  • This is what you came for
  • We found love
  • Hate that I love you
  • Bitch better have my money
  • Umbrella
  • Where have you been
  • Rude boy
  • Diamonds
  • Stupid in love

Niendelee ? Rihanna ni Queen uzi ufungwe
 
Huyu ndie msanii maarufu wa U.S.A nisie fahamu ngoma yake hata moja sijui kwa nini ?!.
 
Ngoma kali kutoka kwa Rihanna
  • Fading
  • Put it up
  • Wild thoughts
  • The monster
  • Fly
  • No love allowed
  • Love the way you lie
  • Man down
  • Needed me
  • What now
  • What's my name
  • Work
  • Teamo
  • Lemon
  • Royalty
  • Unfaithful
  • Rehab
  • We ride
  • Live your life
  • Run this town
  • Talk that talk
  • This is what you came for
  • We found love
  • Hate that I love you
  • Bitch better have my money
  • Umbrella
  • Where have you been
  • Rude boy
  • Diamonds
  • Stupid in love

Niendelee ? Rihanna ni Queen uzi ufungwe
doh , umbrella ,rude boy brings me childhood memories. Kipindi hicho nina ndoto kubwakubwa. Kweli miaka inakimbia
 
doh , umbrella ,rude boy brings me childhood memories. Kipindi hicho nina ndoto kubwakubwa. Kweli miaka inakimbia
Sasa yupo busy kuuza vipodozi mziki kawaachia wengine.

Rihanna ana sauti ya kipekee the reason why napenda nyimbo zake sauti yake ndio sababu moja wapo
 
Ngoma kali kutoka kwa Rihanna
  • Fading
  • Put it up
  • Wild thoughts
  • The monster
  • Fly
  • No love allowed
  • Love the way you lie
  • Man down
  • Needed me
  • What now
  • What's my name
  • Work
  • Teamo
  • Lemon
  • Royalty
  • Unfaithful
  • Rehab
  • We ride
  • Live your life
  • Run this town
  • Talk that talk
  • This is what you came for
  • We found love
  • Hate that I love you
  • Bitch better have my money
  • Umbrella
  • Where have you been
  • Rude boy
  • Diamonds
  • Stupid in love

Niendelee ? Rihanna ni Queen uzi ufungwe
Sasa uzi ufungwe na hujui hata ngoma moja ya Taylor
Jipe muda kumsikiliza utabadili hayo mawazo.
Wakali wapo wengi kuanzia akina Katy Perry, Demi Lovato, Ariana Grande kwa uchache.
Sema wabongo tumekariri akina Rihanna na Beyonce.
 
Huyo msanii wako dunia haiimtambui kwa mikwaju yake zaidi ya umaarufu wake huko U.S

Rihanna na Beyonce hitsongs za dunia ndio zimewatambulisha.

Nitajie hitsong moja tu ya dunia aliyotoa huyo msanii wako ?

Ngoma ya Rihanna moja tu Man down ukiacha zengine zote ni kubwa na maarufu kuliko yote ya huyo msanii wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom