Eti mkeo anatuma ku sms " if u don't mind niletee chips"

Kwa nimetoka home tumezinguana kimtindo, niko misele baadae ndo anitumia sms kama hiyo hivi wana jf wenzangu mngekuwa nyinyi mngebeba hzo chips kwa style ya sms jaman mi binafsi sikubeba coz sizani kama ni busara kumtumia mume/mke sms ya namna hyo.

"Ulitaka akiwa na hamu ya "chips" amuagize jirani?
 
hiyo ni njia ya kukuomba msamaha
 
Neno " if you don't mind " ndo baya vinginevyo mpelekee tu. Kwanza akikwambia hivyo jiulize kuna mambo gani akikwambia ufanye unamind. Kama humind hawezi kusema hivyo.
 
Haya maisha ya kuogopa ogopa mi ndio huwa siyawezi. Yaani kama mwanamke ataona ni busara zaidi kupokea chips za mjomba nani sijui ye ale tu na papuchi atoe ila ahakikishe simkamati. Ila uoga uoga na kutojiamini mimi siendekezi kabisa.
kumkamata hutamkamata, ila ukiletewa video anko kidevu anavyobanjuka kwa hasira kaa ametoa mahari... sumu ya panya inakuhusu
 
Kwa nimetoka home tumezinguana kimtindo, niko misele baadae ndo anitumia sms kama hiyo hivi wana jf wenzangu mngekuwa nyinyi mngebeba hzo chips kwa style ya sms jaman mi binafsi sikubeba coz sizani kama ni busara kumtumia mume/mke sms ya namna hyo.
Simply, i mind....
 
Una bahati mkuu tena mke anagonga ngeli kabisa.
wengine hata kuandika ni shida utasikia tu nimesema njaa inaniuma reo niretee chips kuku changanya na mayai matatu chumvi kwa mbali halafu usisahau kuweka na pilipili kidogo.
 
Sijaona kibaya chochote hapo, usiwe unachukulia kila kitu serious, mimi naona kawaida sana.
 
kuna mambo mengine madogomadogo usiyakuze , funika kombe shetani apite ... ulipaswa kupeleka chips then upate muda wa kuongea naye muhusika mwenyewe .. maana hapa majibu tutakayokupa hayatalingana na kilicho moyoni mwa mwenzi wako
 
if you dont mind, next time mambo ya ndani usiyaweke hadharani......
 
Kwa nimetoka home tumezinguana kimtindo, niko misele baadae ndo anitumia sms kama hiyo hivi wana jf wenzangu mngekuwa nyinyi mngebeba hzo chips kwa style ya sms jaman mi binafsi sikubeba coz sizani kama ni busara kumtumia mume/mke sms ya namna hyo.
Mpwa wangu hapo kwenye red ndio pana somo zima la hii thread yako kama ifuatavyo!
  1. wewe ni mtu wa visasi na huwa huna uelewa wa kumaliza mambo, unaona kukosewa ni hadi mtu akuombe msamaha kabisa
  2. Baada ya kuzinguana, mkeo alikua anataka either ku-apologize au just kutafuta harmony kwenye familia baada ya kuona issue yenyewe pengine ni ya kijinga na haina maslahi kwa familia, hivyo jinsi ya kumaliza au jinsi ya kuvunja kimya ni kukuomba umletee chips, just kutafuta kianzioa na pengine hizo chips angeishia kula kidogo au mngekula wote
  3. kitu kingine, usipende kuchukulia kila kitu very serious, utakuta labda wakati mnazinguana ni kwamba mwenzio yuko kwenye dalili zake, hivyo anahitaji au hahitaji mtu (hutokea kwa wanawake, yaani akikaribnia period au kama yuko period kuna baadhi wanapenda sana kuwa na wenza wao au kuna baadhi wanageuka kisirani) therefore you must grow na uelewe mambo kama hayo, hali ya kawaida kabisa.
  4. Wanawake wanapenda kupendwa sana, hivyo si kila wakati unapaswa kuonyesha ubaunsa na kwamba mimi ndio kila kitu, jifunze kujishusha na kunyenyekea, haitakugharimu chochote kile.
  5. Ukimzingua mwanamke atakuzingua mara elfu moja zaidi, lakini ukimpenda atakupenda mara elfu zaidi, very simple philosophy ndio maana Wazee wetu walisema kuwa KUISHI NA MWANAMKE NI UFUNDI (IT IS AN ART) SIO UBAUNSA
 
Asante sana mdau kwa ushauri wako uliotukuka nitaufanyia kazi na ndo raha ya jf mambo madogomadogo kama haya tunamalizana hapahapa
 
... hebu kuwa mstahimilivu bro, kitu kidogo kama hicho unatahamaki, kwanini?!
... kama jamaa hapo juu alivyosema, kuna akina anko kidevu around ujue, hawachelewi kumpelekea KFC ooh hooo!
... hafu mkigongewa mnanung'unika na kuanza kukodishia watu mabaunsa! it stems from minor issues like this.

Ndio maana mimi najichokea na issue za vijana wa leo-sijui nimezeeka au vipi. Such small minor things watu wanaona dili. Jamani mapenzi ni kudekezana na hiyo ni njia ya kuanza mazungumzo baada ya kajiugomvi. Ukicomplicate mambo utaishia pabaya , halafu kwanini usimpelekee na mkiwa kwenye good mood umwambie , honey sijapenda ile messeji next time anza na please ...maisha ya ndoa ni kuchukuliana na kurekebisha na UPENDO na huba . Hata angesema " I need chips NOW" si unampelekea tu na kumrekebisha taratibu. Real men dont fuss over small issues , wanaume hawana gubu ndugu . Take it easy and chill.
 
Mpwa wangu hapo kwenye red ndio pana somo zima la hii thread yako kama ifuatavyo!
  1. wewe ni mtu wa visasi na huwa huna uelewa wa kumaliza mambo, unaona kukosewa ni hadi mtu akuombe msamaha kabisa
  2. Baada ya kuzinguana, mkeo alikua anataka either ku-apologize au just kutafuta harmony kwenye familia baada ya kuona issue yenyewe pengine ni ya kijinga na haina maslahi kwa familia, hivyo jinsi ya kumaliza au jinsi ya kuvunja kimya ni kukuomba umletee chips, just kutafuta kianzioa na pengine hizo chips angeishia kula kidogo au mngekula wote
  3. kitu kingine, usipende kuchukulia kila kitu very serious, utakuta labda wakati mnazinguana ni kwamba mwenzio yuko kwenye dalili zake, hivyo anahitaji au hahitaji mtu (hutokea kwa wanawake, yaani akikaribnia period au kama yuko period kuna baadhi wanapenda sana kuwa na wenza wao au kuna baadhi wanageuka kisirani) therefore you must grow na uelewe mambo kama hayo, hali ya kawaida kabisa.
  4. Wanawake wanapenda kupendwa sana, hivyo si kila wakati unapaswa kuonyesha ubaunsa na kwamba mimi ndio kila kitu, jifunze kujishusha na kunyenyekea, haitakugharimu chochote kile.
  5. Ukimzingua mwanamke atakuzingua mara elfu moja zaidi, lakini ukimpenda atakupenda mara elfu zaidi, very simple philosophy ndio maana Wazee wetu walisema kuwa KUISHI NA MWANAMKE NI UFUNDI (IT IS AN ART) SIO UBAUNSA

Im sorry to quote all this thread but gret KUDOS and great advise to all many of us.
 
kumkamata hutamkamata, ila ukiletewa video anko kidevu anavyobanjuka kwa hasira kaa ametoa mahari... sumu ya panya inakuhusu
Yaani ninywe sumu kwa sababu ya mwanamke kupanua paja?!! Ulimwengu huu huu au mwingine? Mzee ukiwa na akili hizo maisha yatakuwa magumu sana kwako. Yaani mtu aliwe huko halafu wewe ukanywe sumu. Huo utakuwa ni moshi sio akili aisee. Nitafanya yote lakini sio kunywa sumu kwa ajili ya K.
 
Samahani mdau, hapo tatizo liko kwenye hayo maneno ya "if u dont mind" au?
Bifu za namna hii huwa zinasababu zingine ndani yake, wala sio hio sentensi nafikir.
Je msingekua mmegombana ungemind hio sentensi?
Mimi kwangu naiona sawa kabisa kukwambia hivyo. Dah wengine mnabahati na wake zenu. Mimi wangu aalikua ananuna tu hata hujui sababu na hasemi. Alishawahi nuna kwenye gari toka Mbeya hadi Tanga! Hehehehe!

Hahaa mwehu uyo njia ya kwenda kigoma kat kat ya pori kuna sehem wanatekaga sana magar na watu kuamlishwa wagegedane bila shaka mngekua njia iyo anh kununa kungeisha kugegedwa na mtu mwingne angekwita 2 babaa chanja njo nigegede
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom