Eti mkeo anatuma ku sms " if u don't mind niletee chips"

aaaah hiyo ni intimancy language sioni ubaya.unataka afanye maombi kama anaomba kazi.alafu ukigombana na mkeo hakikisha unaacha pesa ya matumizi.alaaaah.

Nimeacha mdau ila basi tu, kanikwaza kwa kweli
 
Shauri yako kutaka kuvikuza vitu vidogo viwe vikubwa kuliko vinavyostahili, yeye kuzinguana kwenu hakuona kama ni tatizo kubwa kihivyo ndiyo maana mwenzio hakuona shida kukuandikia kukuomba chips.

Mdau ndo kuniomba kwa mtindo huo? Hapana kwa kweli
 
Huyo mkeo anaishi mitaa gani? Nataka nikusaidie kupeleka chips (kuku?) na kumlisha! Anapendelea kinywaji gani?
 
Ha ha ha unanuniwa toka Mbeya hadi Tanga...lol...
Mume wangu anuniwi...nikinuna tu ana pretend kuugua ghafla...
Naamini ni ku pretend maana mtu huwezi kuumwa ghafla pindi ukikwaruzana na mtu...
Kuna siku alibugia chupa nzima ya wine akaanza kutapika ...mgonjwa tayari...

Samahani mdau, hapo tatizo liko kwenye hayo maneno ya "if u dont mind" au?
Bifu za namna hii huwa zinasababu zingine ndani yake, wala sio hio sentensi nafikir.
Je msingekua mmegombana ungemind hio sentensi?
Mimi kwangu naiona sawa kabisa kukwambia hivyo. Dah wengine mnabahati na wake zenu. Mimi wangu aalikua ananuna tu hata hujui sababu na hasemi. Alishawahi nuna kwenye gari toka Mbeya hadi Tanga! Hehehehe!
 
Acha kumpelekea mjomba kidevu apeleke chips kuku, chezea wanawake heee, mwanamke sio ndugu yako kama huamini mkapime DNA
 
kwa hiyo hujapenda neno 'if you don't mind' au sijaelewa?
Kama ndio mbona ni polite way kabisa ya kuomba feva...

Ya cjapenda kwa kweli mdau, bora hata angenimbia plz naomba unijie na chips baba fulan walau ningeona poa tu
 
Wewe hapo omba more instructions. Chipsi kuku, chips mishikaki au leo unataka chips kavu baby? Kama huna salio kwene simu yako wewe chukua chips mayai, robo kuku na mishikaki mitatu. Mpelekee then tabasamu. Kununiana ndani kwani ni deal basi mpwa. Kesho ndoo umwambie baby namna yako ya kuomba chips jana sikuipenda
 
Huyo mkeo anaishi mitaa gani? Nataka nikusaidie kupeleka chips (kuku?) na kumlisha! Anapendelea kinywaji gani?

Karibu magwepande, huwa anapendelea sana tindikali hasa ile ya conc s4hcl mdau
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Wewe hapo omba more instructions. Chipsi kuku, chips mishikaki au leo unataka chips kavu baby? Kama huna salio kwene simu yako wewe chukua chips mayai, robo kuku na mishikaki mitatu. Mpelekee then tabasamu. Kununiana ndani kwani ni deal basi mpwa. Kesho ndoo umwambie baby namna yako ya kuomba chips jana sikuipenda

yaani hiyo ni strategy nzuri ya kumaliza ugomvi ila mtoa mada hajui hilo.
 
Samahani mdau, hapo tatizo liko kwenye hayo maneno ya "if u dont mind" au?
Bifu za namna hii huwa zinasababu zingine ndani yake, wala sio hio sentensi nafikir.
Je msingekua mmegombana ungemind hio sentensi?
Mimi kwangu naiona sawa kabisa kukwambia hivyo. Dah wengine mnabahati na wake zenu. Mimi wangu aalikua ananuna tu hata hujui sababu na hasemi. Alishawahi nuna kwenye gari toka Mbeya hadi Tanga! Hehehehe!
ningesimamisha gari pale Wami nimpe vibao vya kutosha na kulivyo kimya sijui nani angemuamulia, afu namwacha aje kwa njiia anayoijua yeye
 
Kwa nimetoka home tumezinguana kimtindo, niko misele baadae ndo anitumia sms kama hiyo hivi wana jf wenzangu mngekuwa nyinyi mngebeba hzo chips kwa style ya sms jaman mi binafsi sikubeba coz sizani kama ni busara kumtumia mume/mke sms ya namna hyo.

Mwanaume hasusi ukigoma kupeleka mwenzako atapeleka ushaambiwa kwenye vitabu vya dini atakula kwa jasho lako.
 
Wewe hapo omba more instructions. Chipsi kuku, chips mishikaki au leo unataka chips kavu baby? Kama huna salio kwene simu yako wewe chukua chips mayai, robo kuku na mishikaki mitatu. Mpelekee then tabasamu. Kununiana ndani kwani ni deal basi mpwa. Kesho ndoo umwambie baby namna yako ya kuomba chips jana sikuipenda

Hapana kwa kweli mdau
 
kzba kwa wife wala sijaona tatizo nahisi lipo kwako mbona hiyo lugha ni ya kawaida sana.Sema tu una mihasira yako.we mpelekee hizo chips mtt wa watu akajichane na ukirudi mgegede,we utaona mtakavolala huku mmetabasamu mpk asubuhi ugomvi kwishnei.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha unanuniwa toka Mbeya hadi Tanga...lol...
Mume wangu anuniwi...nikinuna tu ana pretend kuugua ghafla...
Naamini ni ku pretend maana mtu huwezi kuumwa ghafla pindi ukikwaruzana na mtu...
Kuna siku alibugia chupa nzima ya wine akaanza kutapika ...mgonjwa tayari...
Hahaha.....

Aiseeeh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom