Kwa nimetoka home tumezinguana kimtindo, niko misele baadae ndo anitumia sms kama hiyo hivi wana jf wenzangu mngekuwa nyinyi mngebeba hzo chips kwa style ya sms jaman mi binafsi sikubeba coz sizani kama ni busara kumtumia mume/mke sms ya namna hyo.

heshima yake mbovuuuKwa nimetoka home tumezinguana kimtindo, niko misele baadae ndo anitumia sms kama hiyo hivi wana jf wenzangu mngekuwa nyinyi mngebeba hzo chips kwa style ya sms jaman mi binafsi sikubeba coz sizani kama ni busara kumtumia mume/mke sms ya namna hyo.
Hapana mdau atazoea mwache ahesabu kenchi kwanza leo ashike adabu
Utakuwa na roho ngumu...unaweza kweli kumkatalia mkeo kitu kidogo kama chipsi? hata kama mmenuniana...
Mi nkinuna afu nikaomba kitu hubby mbona atafurahi maana atajua ugomvi kwishney....
Kanikwaza mdau hv kweli we unaweza kutuma sms kama hyo kwa mwenza wako kweli hata kama mmezinguana jaman
Kanikwaza mdau hv kweli we unaweza kutuma sms kama hyo kwa mwenza wako kweli hata kama mmezinguana jaman