Eti mkeo anatuma ku sms " if u don't mind niletee chips"

Eti mkeo anatuma ku sms " if u don't mind niletee chips"

Utakuwa na roho ngumu...unaweza kweli kumkatalia mkeo kitu kidogo kama chipsi? hata kama mmenuniana...
Mi nkinuna afu nikaomba kitu hubby mbona atafurahi maana atajua ugomvi kwishney....

Yaan we hua siamini ni ke jaman mawazo yangu yote najuaga we dume aiseee hhhaaa
 
Hivyooo tu mambo madogo hayoo je angekunyima uchii
 
Utakuwa na roho ngumu...unaweza kweli kumkatalia mkeo kitu kidogo kama chipsi? hata kama mmenuniana...
Mi nkinuna afu nikaomba kitu hubby mbona atafurahi maana atajua ugomvi kwishney....
mbona naona message iko poa au alitaka amwombe na kuweka maneno ya ''baby au hny''
 
Samahani mdau, hapo tatizo liko kwenye hayo maneno ya "if u dont mind" au?
Bifu za namna hii huwa zinasababu zingine ndani yake, wala sio hio sentensi nafikir.
Je msingekua mmegombana ungemind hio sentensi?
Mimi kwangu naiona sawa kabisa kukwambia hivyo. Dah wengine mnabahati na wake zenu. Mimi wangu aalikua ananuna tu hata hujui sababu na hasemi. Alishawahi nuna kwenye gari toka Mbeya hadi Tanga! Hehehehe!

mmhhh huyo kiboko
 
ningesimamisha gari pale Wami nimpe vibao vya kutosha na kulivyo kimya sijui nani angemuamulia, afu namwacha aje kwa njiia anayoijua yeye

Alininyanyasa yule aisee! Pona yangu ni nikimpa hela. Yani kama nalipishwa faini hivi. Hapo ilibidi tulale hoteli nzuri nimpe na laki 3 shopping. Nami zilikuwepo kipindi hicho! Ila nilikua mdogo na alitaka kunikalia kichwani. Sasa anajuta.
 
... hebu kuwa mstahimilivu bro, kitu kidogo kama hicho unatahamaki, kwanini?!
... kama jamaa hapo juu alivyosema, kuna akina anko kidevu around ujue, hawachelewi kumpelekea KFC ooh hooo!
... hafu mkigongewa mnanung'unika na kuanza kukodishia watu mabaunsa! it stems from minor issues like this.
 
Mdau ndo kuniomba kwa mtindo huo? Hapana kwa kweli

Embu tuandikie hapa ulivyotaka aombe hiyo chips ili umletee, maana unasema kakosema kuandika hivyo tuambie ili na wengine tujifunze.
 
Kwa nimetoka home tumezinguana kimtindo, niko misele baadae ndo anitumia sms kama hiyo hivi wana jf wenzangu mngekuwa nyinyi mngebeba hzo chips kwa style ya sms jaman mi binafsi sikubeba coz sizani kama ni busara kumtumia mume/mke sms ya namna hyo.

sasa mkuu unataka aweke anuani, tarehe na kichwa cha habari yahusu ununuaji wa chpsi kwa mke wako??? sometimes usiwaze sana vitu too beyond....
 
chips si inaweza pikwa home au mkeo hajui kupika?.
 
Acha kumpelekea mjomba kidevu apeleke chips kuku, chezea wanawake heee, mwanamke sio ndugu yako kama huamini mkapime DNA
Haya maisha ya kuogopa ogopa mi ndio huwa siyawezi. Yaani kama mwanamke ataona ni busara zaidi kupokea chips za mjomba nani sijui ye ale tu na papuchi atoe ila ahakikishe simkamati. Ila uoga uoga na kutojiamini mimi siendekezi kabisa.
 
Alininyanyasa yule aisee! Pona yangu ni nikimpa hela. Yani kama nalipishwa faini hivi. Hapo ilibidi tulale hoteli nzuri nimpe na laki 3 shopping. Nami zilikuwepo kipindi hicho! Ila nilikua mdogo na alitaka kunikalia kichwani. Sasa anajuta.

Anajuta na nn mkuu? hahahahahaha!
 
Jamaa wa ajabu huyu kutumia msg ya kutaka chips tu nongwa teleee jee angekuambia umlishe ingekuaje?
 
Kwa nimetoka home tumezinguana kimtindo, niko misele baadae ndo anitumia sms kama hiyo hivi wana jf wenzangu mngekuwa nyinyi mngebeba hzo chips kwa style ya sms jaman mi binafsi sikubeba coz sizani kama ni busara kumtumia mume/mke sms ya namna hyo.
some one will make it for you.
 
heshima yake mbovuuu
Heshima mbovu kivipi? Mbona sioni ubaya wa hiyo sms. The thing is, wamezinguana, which is normal. Hapa mke anatumia gia ya niletee chips kupima kama jamaa bado ana kinyongo au yameisha. Ni namna ya kutafuta suluhu ili maisha yaende. Kusema kama hutajali ni kuonyesho msisitizo kuwa yaisheee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom