Eti "Mi sitaki kuchezewa"

Dah..dont tell me hujui kuna mazoba na mazombie....Ni wale ATMs..Baadhi ya wanawake huwa wanakuwa na wanaume kam 3 au 4..
1.. Sharobaro aka handsome muuza sura wa kujidai
2.. Atm aka provider aka mgodi
3.. Wa kumfikisha
4..Wa future kama kuoana nk
5 ...Kuna wengine wanao wa akiba kama plans nyingine zikifeli
hapo magwiji wanangukiaga kwenye namba 3 ,shabashiiiii!
 
Huyo atakua kagegedwa sana mpaka nanilihu yake imedebweda kama domo la TEJA...kwa hiyo sasa yupo kwenye rehab kurejesha maungi sawa...
 
My hubby wangu Eiyer, kuchezewa kunakujaje, unapomuahidi mdada kuwa utamuoa (umemu-engage so umemfunga) na ukamuomba mfanye mapenzi (yeye akiwa hajaridhia) na akakubali kwa kuwa utamuoa; wakati from the very beginning unajua hutamuoa na kuja kumtelekeza baadaye. Huyo dada ana haki ya kusema amechezewa.
Kosa la huyo dada ni kutosimamia imani yake, kumbuka hakuwa radhi kufanya mapenzi ni umemshawishi kwa ahadi!

Lakini kwa scenario nyingine ambapo, mmepenndana na mdada na wote mmeridhia kufanya mapenzi na kwenye course ya mapenzi yenu mkaahidiana kuoana. Ukija kuacha kumuoa, au naye akibadili mtazamo mnakuwa mmepotezeana muda (kwani kutengeneza uchumba takes time), na hakuna mtu kamchezea mwenzake.

Wadada wengi huangukia kwenye kundi hilo la pili, lakini as you say wanasema wamechezewa which is very wrong IMO; na kama alivyoshauri Zion Daughter kwenye uzi wake; kama wewe uko kwenye kundi la kwanza, dont give in (sex wise) kwa expectation za kuolewa. Ila kama unataka sex (uko kwenye kundi la pili) jua kuna kuolewa au kutoolewa, l am sure kuna wadada wengi tu wanawaacha wachumba zao (mifano mingi humu JF) mbona wanaume hawalalamiki kuchezewa?

BTW mimi nimechezea wa kutosha tu labda pengine wa kuzidi! LOL
Points zako ni za ukweli, lakini naomba unieleweshe hapo kwenye red.
"ukamuomba mfanye mapenzi yeye akiwa hajaridhia na akakubali kwa kuwa utamuoa."
Naona kama hata hiyo ndoa itakuwa haina mizizi ya penzi, yaani mtu akubali kufanya kwa sababu ameambiwa ataolewa?
 
Mwanamke akisema 'umemchezea' anaweza pia kumaanisha kuwa hujamfikisha kileleni labda kwa kuwa kishedede chako kiduchu kaa piriton au huna skills.....tuendelee na mjadala
 
BTW mimi nimechezea wa kutosha tu labda pengine wa kuzidi! LOL

Kaunga we Kaunga! acha masikhara bibie!

Bazazi naye anechezewa sana na vibinti, sijui qa nini?
Labda qa kuwa anavaa shanga kiunoni na kwenye korodani?

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
unaweza ishi kama nabii ambaye hukubaliki kwenu pole yako kashtukia kamchezo kako kumbe ndio kazi yako eeee sasa uliuwa unamwitia nini dada wawatu sema hapa sasa ,eti umuulize kitu hahahahah kakustukia we ni jimbi changa halipikiki halipakuliki helooooooooo
Mkuu na wewe niombe radhi, mimi nilikuwa namuita
nimpe ujumbe wake ambao niliangizwa na ndugu yake
wa Kilosa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom