Eti mechi za kirafiki haswa mchangani huongeza kiwango...

sarikoki

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
1,194
Reaction score
721
Wanasema angalau mara tatu kwa mwaka ucheze gemu la kirafiki.....ni njia nzuri ya kipimo cha performance yako kwenye ligi ya nyumbani....wanasema huwezi jua kama kiwango kimeshuka ama kimepanda ukicheza na team moja tu......wanasema mchangani watu wanacheza mpaka dakika mia ishirini hivo inakuongezea nguvu na pumzi nyingi.......na urudipo nyumbani unapiga gemu mpaka mtu anaomba mapumziko......... Kuna mtu utasikia akisemwa na wenzake...Mchezaji mwenyewe hajatulia lakini sijui kwa nini timu inamganda....yote hayo ni kwa sababu kutokutulia kwake kunampa nguvu na pumzi nyingi. Wanasema strictly lazima iwe mechi ya mchangani. Jamani ni story tu nimesikia nikasema nije niulize kama kuna ukweli wowote.
 
Hyo ni sahihi " practise make perfect" iliuwe mzur uwanjan lazma ujipme na tim tofaut ili ukutane na changamoto
 
Wanasema angalau mara tatu kwa mwaka ucheze gemu la kirafiki.....ni njia nzuri ya kipimo cha performance yako kwenye ligi ya nyumbani....wanasema huwezi jua kama kiwango kimeshuka ama kimepanda ukicheza na team moja tu......wanasema mchangani watu wanacheza mpaka dakika mia ishirini hivo inakuongezea nguvu na pumzi nyingi.......na urudipo nyumbani unapiga gemu mpaka mtu anaomba mapumziko......... Kuna mtu utasikia akisemwa na wenzake...Mchezaji mwenyewe hajatulia lakini sijui kwa nini timu inamganda....yote hayo ni kwa sababu kutokutulia kwake kunampa nguvu na pumzi nyingi. Wanasema strictly lazima iwe mechi ya mchangani. Jamani ni story tu nimesikia nikasema nije niulize kama kuna ukweli wowote.

Na yeye pia?
 
Mwanaume ukiwa kama ndo mchezaji unatakiwa uwe kilaka ucheze kila namba kwa umahir hapo tmu nyngi ztakupenda. Hapo upge tzi la mchangan hata mech 3 kwa sk na tm tofaut
 
Weee nikikukamata umekwisha mechi tatu kwa siku?utakua unatafuta kufa na kilo kumi wewe
 
Eh nayeye pia kwani yee ndo hataki kupima performance yake?hakuna kua selfish hapa wote sawa nakwambia.

Hapo sasa vita inatafutwa.....sisi hatuwalalamikiagi viwango vyenu...nyie ndo mnalalamika sana.....nafikiri hii haiwahusu....du.! ntaua mtu.
 
Ahaa nyie mnaona sawa kuwa na mechi za kirafiki ila sie hapana,nasisi tunataka tuone tofaut ya kirafiki na ndani,tusitaniane aisee,kama roho inakuuma mwenzio akienda katika mechi ya kirafiki basi nawewe tulia aisee
 
Tatizo nyie mkienda mchangani hamrudigi...mnahama team kabisa ..sisi huwa hatuami tunaendaga tu kutafuta pumzi...
 
Kama umegundua hilo basi jitahidi mechi ya ndani uwe zaidi ya perfect ili mtu asipate wazo la mechi ya kirafiki,na hata akitoka arudi maana nje hakuna jipya....si vyema mwanamke kushindana na mwanaume lakini kwa hili wee tutabanana mpaka mwisho
 
. Kujaribu kuhalalisha uzinzi tu

Ndo maana wake zenu hawafungi dirisha dogo la usajili
 
Kama umegundua hilo basi jitahidi mechi ya ndani uwe zaidi ya perfect ili mtu asipate wazo la mechi ya kirafiki,na hata akitoka arudi maana nje hakuna jipya....si vyema mwanamke kushindana na mwanaume lakini kwa hili wee tutabanana mpaka mwisho

Sasa uperfect ndio huo unapatikana mchangani....
 
Kama ndio hivi mnavyofikiria, tanzania bila ukimwi haiwezekani
 
Uzinzi sio tabia nzuri kiasi cha kuipa promo hivyo,kama ni pumzi tatizo kwanini ujashauri watu wafanye jogging..
 
Jogging saa ngapi dada......huwezi kukwepa kuongelea ubora wa ngono kwenye ndoa.....ngono ndio inashika mahusiano......cha muhimu ni safe sex....... kitu ambacho kila mtu anakijua..........kama huwezi kufanya safe sex then acha kabisa....lakini huwezi kabisa kuishi karne hii bila kuongelea ngono/mapenzi.
 
Kama ndio hivi mnavyofikiria, tanzania bila ukimwi haiwezekani

Kuongelea ngono ni lazima....na matangazo yoote hayo ya condom kama bado hutumiii basi acha kabisa usifanye....lakini ni lazima kuongelea ngono..... wewe ni mtu mzima unajua nini naongelea........
 
Back
Top Bottom