Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,052
- 11,658
Atahamia mara ngapi? Si mashabiki wa Chadema walisema kuwa alihamia toka pale alipolambishwa asali Ikulu?Mwenye uhakika atuwekee hapa.
Siamini pamoja na yote yaliyomtokea kwenye uchaguzi, bado ni ASSET kwa Chadema, ASSET kubwa
This would be the worst day of my life in politics
Uwezekano ni mkubwa wa Mbowe kulala nje ya gereza,nakurejea asubuhi au muda wakuhitajika kuonekana yuko gerezani.Liangalie bwege km hili, kaa mbali na wapumbavu km hawa, Mbowe amewekwa ndani kukaa gerezani mara ngapi? Amekoswakoswa kuuawa mara ngapi? Halafu anatokea mbwa km huyu eti lini alitoka CCM?
AI imefika mbali sana!
Hii ni ngumu. Mbowe kama ilivyo komredi Erythrocyte na Heche, ataendelea kuwa mwanaCCM akiwa huko upinzani kimkakati.Mwenye uhakika atuwekee hapa.
Siamini pamoja na yote yaliyomtokea kwenye uchaguzi, bado ni ASSET kwa Chadema, ASSET kubwa
This would be the worst day of my life in politics
Lini mbowe alikaa ndani ebu tuweni serious 😄 😄 😄Liangalie bwege km hili, kaa mbali na wapumbavu km hawa, Mbowe amewekwa ndani kukaa gerezani mara ngapi? Amekoswakoswa kuuawa mara ngapi? Halafu anatokea mbwa km huyu eti lini alitoka CCM?
African politics are conditional. Chadema wamuita Lowassa Fisadi Papa kabla ya 2015. Miezi kadhaa Lowassa akawa Mgombea Urais wa Chadema 2015! Ahahahahaha!Ila CCM wanafiki sana, juzi tu mlimuita gaidi, mchaga , mlevi etc. Ghafra mmemuona wa maana sana.
Ule uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema ulimjeruhi Mbowe.Mwenye uhakika atuwekee hapa.
Siamini pamoja na yote yaliyomtokea kwenye uchaguzi, bado ni ASSET kwa Chadema, ASSET kubwa
This would be the worst day of my life in politics
Mbowe ahamie CCM kwani alikuwa upande gani tangia atoke mahabusu? Mtu kwenda mahakamani kumemshinda hata siku moja tu na bado unaamini yupo pamoja na Chadema ya Lissu?
CHADEMA inanufaikaje naye tangu uwenyekiti wake ulipokoma?Mwenye uhakika atuwekee hapa.
Siamini pamoja na yote yaliyomtokea kwenye uchaguzi, bado ni ASSET kwa Chadema, ASSET kubwa
This would be the worst day of my life in politics
Makinika brother! Kuna drama nyingi sana zitatengenezwa kuelekea anniversary ya MO29Mwenye uhakika atuwekee hapa.
Siamini pamoja na yote yaliyomtokea kwenye uchaguzi, bado ni ASSET kwa Chadema, ASSET kubwa
This would be the worst day of my life in politics
Siamini kabisa kama Mbowe anaweza kuhamia CCM. Akifanya hivyo nitajiuliza sana kama hajapata matatizo makubwa ya kisaikolojia au ya hata afya ya akili.Atahamia mara ngapi? Si mashabiki wa Chadema walisema kuwa alihamia toka pale alipolambishwa asali Ikulu?
Amandla...
Nadhani watu wengi wanaamini kuwa Mbowe hawezi kutoka Chadema ndio maana wanajisikia huru kumsemea ovyo. Unamaanisha nini unaposema ajiweke sawa na uongozi wa sasa na wanachama? Kwa kosa lipi alilowafanyia? Kwa nini hao viongozi (ambao wengi wanaoujua mchango wake kwao) wanakaa kimya wanapoona anadhalilishwa na kutukanwa na walio ingia kwenye chama chao majuzi tu? Kwa nini hawamtetei anapotupiwa lawama na matusi?Siamini kabisa kama Mbowe anaweza kuhamia CCM. Akifanya hivyo nitajiuliza sana kama hajapata matatizo makubwa ya kisaikolojia au ya hata afya ya akili.
Kazi aliyoifanya kuijenga CHADEMA hadi kikawa chama tishio kisiasa nchini kiwango kile katika mazingira yale, sio kwa akili ya kawaida. He was a genius for sure.
CCM na serikali yake hawakuweza kugundua tishio analotengeneza Mbowe. Wangeshtuka, wangeua juhudi zake mwanzoni kabisa. Leo chama ni self sustaining; hakihitaji mtu (individual) ku-survive. Hata Mbowe mwenyewe kimempumzisha na kuongeza kasi ya mapambano. Hata Lissu asipokuwepo chama kinachanja mbuga tu. In fact, Tanzania Leo hii, kiuhalisia, hakuna chama kingine cha siasa zaidi ya CHADEMA!
Mbowe, hata kama kaharibu, anaachaje legacy hiyo na kutaka kuhamia CCM anakodharauliwa sana? Vyovyote vile, CHADEMA hawawezi kumkana Mbowe kama muasisi wa chama. Hana budi kuvaa ngozi ngumu na kujiweka sawa na uongozi wa sasa na wanachama ili nafasi yake na hadhi yake ndani ya chama isifutike na kutoweka kabisa.
Siasa tu za mchonga hizo...Nyerere alisema CCM ikimzingua atakiacha.
Naamini bado Mbowe hajapoteza "genius". Kama CHADEMA wamemuudhi naye akaudhika sana basi jambo jema kwake ni kuondoka CHADEMA na kuachana na siasa za vyama for good.Nadhani watu wengi wanaamini kuwa Mbowe hawezi kutoka Chadema ndio maana wanajisikia huru kumsemea ovyo. Unamaanisha nini unaposema ajiweke sawa na uongozi wa sasa na wanachama? Kwa kosa lipi alilowafanyia? Kwa nini hao viongozi (ambao wengi wanaoujua mchango wake kwao) wanakaa kimya wanapoona anadhalilishwa na kutukanwa na walio ingia kwenye chama chao majuzi tu? Kwa nini hawamtetei anapotupiwa lawama na matusi?
Nyerere alisema CCM ikimzingua atakiacha.
Amandla...
Anaweza kuhamia tu huko.Naamini bado Mbowe hajapoteza "genius". Kama CHADEMA wamemuudhi naye akaudhika sana basi jambo jema kwake ni kuondoka CHADEMA na kuachana na siasa za vyama for good.
Ameshakwenda mwendo mrefu sana na CHADEMA; hawezi kubadili mwelekeo wakati huu. He is at the point of no return. Utimilifu wake na uzima wa akili unategemea alichokijenga na kukisimamia sehemu muhimu ya maisha yake. CCM ni kinyume cha yote hayo.
Mbowe kuhamia CCM itakuwa kujidhalilisha kupita maelezo. Kwa muda mrefu CCM wamemtafuta wamgaragaze kwenye matope kuonyesha yale aliyoyapigania akiwa CHADEMA hayana maana kabisa. Hawajawahi kuhitaji genius yake kule kwa sababu sio wanayoyataka. Wanachotaka ni "falsafa" ya CHADEMA kufutika nchini. Akihamia CCM watamwambia "KIKO WAPI SASA?"