Tetesi: Eti Mbowe Freeman kahamia CCM?

Kwani lini alitoka huko ccm? Mbona CHADEMA alikuwa anazuga tu kama ilivyo kwa CHAWA wake akiwemo Yericko Nyerere!
Yooote yametokea, but Mbowe is still a symbol of Chadema. Alikoanzia na Chadema mpaka alipoifikisha, siwezi kumtukana.
Aliamini katika siasa za reconciliation, hakujua kuwa CCM hakuna mtu bali mashetani!

Sema approach yake ilikuwa too diplomatic ambayo kwa CCM haitakiwi.
 
Unajitia moyo tu ila hayo unayoamini kuhusu mbowe hata yeye mwenyewe haamini
 
Mwenye uhakika atuwekee hapa.
Siamini pamoja na yote yaliyomtokea kwenye uchaguzi, bado ni ASSET kwa Chadema, ASSET kubwa

This would be the worst day of my life in politics
Mbowe hawezi kuhamia CCM ila atakuja kurudisha chama chake chadema, alikosea sana kuwaachi mambwa makapuku chama chake. Hakuna cha demokrasia angalia sasa nyumbu makapuku wasio na adabu wala ustaarabu wanavyomtukana. Mtu umejenga taasisi yako kwa jasho na damu leo utukanwe na vitoto vidogo makapuku tu? Inauma sana, mimi mwenyewe naumia sijui Mbowe anajisikiaje? Wafuasi wa chadema ni jamii isiyokubalika popote pale duniani, Mbowe alitakiwa aheshimiwe kwa gharama yyte na wa kumlinda ni viongozi wa sasa, jamii gani hovyo km ya chadema? Ndiyo maana sazingine unamwelewa Museveni akisema anayetaka urais wa Uganda aingie porini maana mwafrika anakugeuka ht kabla hujafa! Mbowe alitakiwa amrithishe chama chake yule kijana wake James, huwezi kuwaridhisha haya mambwa meusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…