Wazee kama mtakuwa mlisikiliza mdaharo wa Mbowe na Hamadi Rashidi mtakuwa mmemsikia Mh Hamadi Rashidi akisema kuna mtu alimwambia kuwa alibadili jina lake ili asijulikane dini gani ndio akipigiwa kura na kushida. Nadhani huyu jamaa anatufanya vilaza sana kuwa hapa bara watu huwa hatujuani. Hivi yeye mpaka leo anaamini majina yana maana sana ya kumtambulisha mtu huku kwetu kuwa ni dini gani? Mimi naamini kabisa watanzania hawatumii majina kumtambua mtu ni dini gani ila tunajuana siku nyingi sana kuwa fulani ni muumini wa dini gani. Sijui hayo madai yake yana malengo gani? Ila nashukuru Mbowe alimjibu kwa busara sana kuwa hakuna mtu anaweza pigiwa kura na dini moja akashinda uchaguzi.
Hamad Rashid asituletee ujinga wa udini wao Zanzibar. Ninavojua bara wakristo hawana udini kichwani ila ndugu zetu waislamu hilo ni tatizo kubwa kwa wengi wao. Ni Zanzibar au maeneo ya pwani ambko hawa ndugu zetu waislamu wanaishi ndiko si rahisi kukuchagua ukiwa mkristo. Sumbawanga ni wakristo lakini mpanda kati wamemchagua Said Arfi. Wakristo wengi mwaka huu wamemchagua Kikwete Muislam au Dr. Slaa lakini ni waislamu wachache walomchagua Dr. Slaa. Wengi wao wamemchgua waislamu wenzao Kikwete au Prof Lipumba na ndivo walivoambiwa miskitini. Aniambie mkristo hata m1 aliyechaguliwa au kuteuliwa Zanzibar.
Viongozi wengi wa Kikristo walichokuwa wanawaambia waumini wao ni kumchagua kiongozi mwakini na mwadilifu, anayechukia maovu na ufisadi . Hapo hizo sifa zote nzuri zinamwangukia Dr. Slaa hawa wenzetu kwa makusudi wakaanza propaganda eti wakristo wanampendelea Dr. Slaa lakini si hivo hizo sifa zingemwangukia Kikwete bado viongozi wa kikristo wangeendelea na hiyo elimu yao kwa wapiga kura kuwachagua kiongozi mzuri.
Tatizo kiongozi mwislamu Kikwete ambaye alikuwa na nguvu kuliko mwenzake Lipumba sifa za kiongozi asiyetakiwa zilikuwa zinamwangukia na sasa hawa wanasiasa waovu wakaona njia bora kumpatia huyo mgombea wao kilaza ni kuingiza dhana kuwa Slaa anapendwa na wakristo kwa sababu ya udini jambo ambalo halikuwa kweli.
Nawashangaa CUF wanaingia kichwa kichwa kuipaka matope CHADEMA kuwa ni ya kidini huku na wao si CHADEMA waliowapakazia kuwa ni chama cha kidini ila ni CCM.
Kusema kweli inabidi uwe na akili ya kipekee ukiwa mwislamu kukataa mawazo ya kiongozi wako wa kidini kwa wakristo ni tofauti make kuna mwanya wa kutenganisha dini siasa. Ya kaizari ya Kaizari ya Mungu Ya Mungu. Wenzetu hiyo philosophy ya secularism haipo.
go quench ur quest somewhere!! U r so shallow if kiongozi katamka then its law ? Kuna kiongozi mmoja alisema tule majani so tungekula? Kuna mwingine alisema sizitaki kura zenu, udini mnaukuza enyi moslems and enyi few die hard fans!Mbowe said, Suala la dini linapewa kipaumbele baada ya viongozi kulitamka......nami namuunga mkono koz am sure kama tutalipa ukimya basi halitakua na nafasi katika Tz yetu hii......
judgin by ur speech..I'll be backSijui kwa nini watu huwa wanakurupuka kuongea upupu!
Jambo linaweza kuzua jambo. Hiyo kauli ifuatiliwe kama ni kweli basi ushindi wa mtu unaweza tenguliwa maana hakuapa mahakamani ikawa wazi kuwa anabadili jina kwa hiyo huyu alifake jina. Hakuheshimu maneno yale yasemayo,
Nathibitisha kuwa taarifa nilizotoa hapa ni kweli na ..........
Wazee kama mtakuwa mlisikiliza mdaharo wa Mbowe na Hamadi Rashidi mtakuwa mmemsikia Mh Hamadi Rashidi akisema kuna mtu alimwambia kuwa alibadili jina lake ili asijulikane dini gani ndio akipigiwa kura na kushida. Nadhani huyu jamaa anatufanya vilaza sana kuwa hapa bara watu huwa hatujuani. Hivi yeye mpaka leo anaamini majina yana maana sana ya kumtambulisha mtu huku kwetu kuwa ni dini gani? Mimi naamini kabisa watanzania hawatumii majina kumtambua mtu ni dini gani ila tunajuana siku nyingi sana kuwa fulani ni muumini wa dini gani. Sijui hayo madai yake yana malengo gani? Ila nashukuru Mbowe alimjibu kwa busara sana kuwa hakuna mtu anaweza pigiwa kura na dini moja akashinda uchaguzi.
Asante sana mkuu, mimi ingawa ni mkristo lakini siwezi kumchagua mtu mpuuzi asiyejali maslahi ya taifa eti kisa tu ni mkristo. Huo ni upumbavu ambao hata dhamiri yangu itanihukumu.
Wazee kama mtakuwa mlisikiliza mdaharo wa Mbowe na Hamadi Rashidi mtakuwa mmemsikia Mh Hamadi Rashidi akisema kuna mtu alimwambia kuwa alibadili jina lake ili asijulikane dini gani ndio akipigiwa kura na kushida. Nadhani huyu jamaa anatufanya vilaza sana kuwa hapa bara watu huwa hatujuani. Hivi yeye mpaka leo anaamini majina yana maana sana ya kumtambulisha mtu huku kwetu kuwa ni dini gani? Mimi naamini kabisa watanzania hawatumii majina kumtambua mtu ni dini gani ila tunajuana siku nyingi sana kuwa fulani ni muumini wa dini gani. Sijui hayo madai yake yana malengo gani? Ila nashukuru Mbowe alimjibu kwa busara sana kuwa hakuna mtu anaweza pigiwa kura na dini moja akashinda uchaguzi.
You mean Mbowe bin Said!?Mbowe said, Suala la dini linapewa kipaumbele baada ya viongozi kulitamka......nami namuunga mkono koz am sure kama tutalipa ukimya basi halitakua na nafasi katika Tz yetu hii......