Eti kuna mtu alibadili jina ili apigiwe kura!

mzozaji

JF-Expert Member
Jul 28, 2010
255
0
Wazee kama mtakuwa mlisikiliza mdaharo wa Mbowe na Hamadi Rashidi mtakuwa mmemsikia Mh Hamadi Rashidi akisema kuna mtu alimwambia kuwa alibadili jina lake ili asijulikane dini gani ndio akipigiwa kura na kushida. Nadhani huyu jamaa anatufanya vilaza sana kuwa hapa bara watu huwa hatujuani. Hivi yeye mpaka leo anaamini majina yana maana sana ya kumtambulisha mtu huku kwetu kuwa ni dini gani? Mimi naamini kabisa watanzania hawatumii majina kumtambua mtu ni dini gani ila tunajuana siku nyingi sana kuwa fulani ni muumini wa dini gani. Sijui hayo madai yake yana malengo gani? Ila nashukuru Mbowe alimjibu kwa busara sana kuwa hakuna mtu anaweza pigiwa kura na dini moja akashinda uchaguzi.
 
Thesi

JF-Expert Member
Aug 8, 2010
1,000
1,195

Hamad Rashid asituletee ujinga wa udini wao Zanzibar. Ninavojua bara wakristo hawana udini kichwani ila ndugu zetu waislamu hilo ni tatizo kubwa kwa wengi wao. Ni Zanzibar au maeneo ya pwani ambko hawa ndugu zetu waislamu wanaishi ndiko si rahisi kukuchagua ukiwa mkristo. Sumbawanga ni wakristo lakini mpanda kati wamemchagua Said Arfi. Wakristo wengi mwaka huu wamemchagua Kikwete Muislam au Dr. Slaa lakini ni waislamu wachache walomchagua Dr. Slaa. Wengi wao wamemchgua waislamu wenzao Kikwete au Prof Lipumba na ndivo walivoambiwa miskitini. Aniambie mkristo hata m1 aliyechaguliwa au kuteuliwa Zanzibar.
Viongozi wengi wa Kikristo walichokuwa wanawaambia waumini wao ni kumchagua kiongozi mwakini na mwadilifu, anayechukia maovu na ufisadi . Hapo hizo sifa zote nzuri zinamwangukia Dr. Slaa hawa wenzetu kwa makusudi wakaanza propaganda eti wakristo wanampendelea Dr. Slaa lakini si hivo hizo sifa zingemwangukia Kikwete bado viongozi wa kikristo wangeendelea na hiyo elimu yao kwa wapiga kura kuwachagua kiongozi mzuri.
Tatizo kiongozi mwislamu Kikwete ambaye alikuwa na nguvu kuliko mwenzake Lipumba sifa za kiongozi asiyetakiwa zilikuwa zinamwangukia na sasa hawa wanasiasa waovu wakaona njia bora kumpatia huyo mgombea wao kilaza ni kuingiza dhana kuwa Slaa anapendwa na wakristo kwa sababu ya udini jambo ambalo halikuwa kweli.
Nawashangaa CUF wanaingia kichwa kichwa kuipaka matope CHADEMA kuwa ni ya kidini huku na wao si CHADEMA waliowapakazia kuwa ni chama cha kidini ila ni CCM.
Kusema kweli inabidi uwe na akili ya kipekee ukiwa mwislamu kukataa mawazo ya kiongozi wako wa kidini kwa wakristo ni tofauti make kuna mwanya wa kutenganisha dini siasa. Ya kaizari ya Kaizari ya Mungu Ya Mungu. Wenzetu hiyo philosophy ya secularism haipo.
 
mpingomkavu

Member
Nov 26, 2010
94
0
Hili swala la udini ni tata jamani tuliache, kwani tukilileta hapa na ushahidi dhahiri watu tunaweza kuvuruga amani kabisa, lkn mi naamini viongozi ndio wanalitaka kuwa hoja ya kitaifa,kwani kuna ushahidi wa wazi kabisa viongozi wa dini ya kislamu walikuwa hawapendi hata kidogo kulisikia jina la Dr.Slaa,na badala yake wakaanza kumwita Padri Slaa, hizi ni lugha za kejeli na maudhi, lkn waslamu hawapo hivyo hawa viongozi wa dini ya kislamu walitumwa na viongozi wa serikali kulisisitiza hilo ili JK apate kura nyingi za waislamu.ni jambo la kusikitisha kabisa viongozi wa dini kutoa mihadhara misikitini kwa nguvu na muda mwingi kueneza ubaguzi kwa misingi ya kidini
 
Questt

JF-Expert Member
Oct 8, 2009
3,010
1,195
Mbowe said, Suala la dini linapewa kipaumbele baada ya viongozi kulitamka......nami namuunga mkono koz am sure kama tutalipa ukimya basi halitakua na nafasi katika Tz yetu hii......
 
afroPianist

Member
Nov 3, 2010
86
0
Guys trust me, the only mastercard CCM has against CHADEMA is "udini". Unless CHADEMA does some moves strategically to tackle that propaganda, CCM will use it again and again.

They know that muslims (not all) react quicker to such propaganda than Christians who are more less likely to vote a candidate just for his Christianity(remember how Bishops openly campaigned for Kikwete 2005 that he is "God's chosen one" even though Mbowe a fellow Christian was running, but i have NEVER heard muslim clerics endorsing a christian runner though they have supported muslim runners, and remember a massive open support Kikwete had from Christians before which no Christian runner has had luck to receive from muslims).

So it's not Wananchi's fault but it is a weak spot in their hearts and minds and CCM knows how best to exploit this weakness..but in the process they leave a BIG MESS mehind, our society falling apart!
 
mchakachuaji1

Senior Member
Nov 4, 2010
104
195
Hamad Rashid asituletee ujinga wa udini wao Zanzibar. Ninavojua bara wakristo hawana udini kichwani ila ndugu zetu waislamu hilo ni tatizo kubwa kwa wengi wao. Ni Zanzibar au maeneo ya pwani ambko hawa ndugu zetu waislamu wanaishi ndiko si rahisi kukuchagua ukiwa mkristo. Sumbawanga ni wakristo lakini mpanda kati wamemchagua Said Arfi. Wakristo wengi mwaka huu wamemchagua Kikwete Muislam au Dr. Slaa lakini ni waislamu wachache walomchagua Dr. Slaa. Wengi wao wamemchgua waislamu wenzao Kikwete au Prof Lipumba na ndivo walivoambiwa miskitini. Aniambie mkristo hata m1 aliyechaguliwa au kuteuliwa Zanzibar.
Viongozi wengi wa Kikristo walichokuwa wanawaambia waumini wao ni kumchagua kiongozi mwakini na mwadilifu, anayechukia maovu na ufisadi . Hapo hizo sifa zote nzuri zinamwangukia Dr. Slaa hawa wenzetu kwa makusudi wakaanza propaganda eti wakristo wanampendelea Dr. Slaa lakini si hivo hizo sifa zingemwangukia Kikwete bado viongozi wa kikristo wangeendelea na hiyo elimu yao kwa wapiga kura kuwachagua kiongozi mzuri.
Tatizo kiongozi mwislamu Kikwete ambaye alikuwa na nguvu kuliko mwenzake Lipumba sifa za kiongozi asiyetakiwa zilikuwa zinamwangukia na sasa hawa wanasiasa waovu wakaona njia bora kumpatia huyo mgombea wao kilaza ni kuingiza dhana kuwa Slaa anapendwa na wakristo kwa sababu ya udini jambo ambalo halikuwa kweli.
Nawashangaa CUF wanaingia kichwa kichwa kuipaka matope CHADEMA kuwa ni ya kidini huku na wao si CHADEMA waliowapakazia kuwa ni chama cha kidini ila ni CCM.
Kusema kweli inabidi uwe na akili ya kipekee ukiwa mwislamu kukataa mawazo ya kiongozi wako wa kidini kwa wakristo ni tofauti make kuna mwanya wa kutenganisha dini siasa. Ya kaizari ya Kaizari ya Mungu Ya Mungu. Wenzetu hiyo philosophy ya secularism haipo.

Asante sana mkuu, mimi ingawa ni mkristo lakini siwezi kumchagua mtu mpuuzi asiyejali maslahi ya taifa eti kisa tu ni mkristo. Huo ni upumbavu ambao hata dhamiri yangu itanihukumu.
 
Kibunago

JF-Expert Member
Jan 11, 2008
288
0
Sijui kwa nini watu huwa wanakurupuka kuongea upupu!

Jambo linaweza kuzua jambo. Hiyo kauli ifuatiliwe kama ni kweli basi ushindi wa mtu unaweza tenguliwa maana hakuapa mahakamani ikawa wazi kuwa anabadili jina kwa hiyo huyu alifake jina. Hakuheshimu maneno yale yasemayo,

Nathibitisha kuwa taarifa nilizotoa hapa ni kweli na ..........
 
Nsiande

JF-Expert Member
Jul 27, 2009
1,649
1,195
Mbowe said, Suala la dini linapewa kipaumbele baada ya viongozi kulitamka......nami namuunga mkono koz am sure kama tutalipa ukimya basi halitakua na nafasi katika Tz yetu hii......
go quench ur quest somewhere!! U r so shallow if kiongozi katamka then its law ? Kuna kiongozi mmoja alisema tule majani so tungekula? Kuna mwingine alisema sizitaki kura zenu, udini mnaukuza enyi moslems and enyi few die hard fans!
 
Nsiande

JF-Expert Member
Jul 27, 2009
1,649
1,195
Sijui kwa nini watu huwa wanakurupuka kuongea upupu!

Jambo linaweza kuzua jambo. Hiyo kauli ifuatiliwe kama ni kweli basi ushindi wa mtu unaweza tenguliwa maana hakuapa mahakamani ikawa wazi kuwa anabadili jina kwa hiyo huyu alifake jina. Hakuheshimu maneno yale yasemayo,

Nathibitisha kuwa taarifa nilizotoa hapa ni kweli na ..........
judgin by ur speech..I'll be back
 
Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
9,218
2,000
CCM ya kikwete italaaniwa na Watanzania walio wengi kwa miaka mingi kwa kupandikiza fikra za kidini kwa manufaa yao binafsi. Fikra za udini ndiyo Kikwete's legacy. Tuikatae fikra duni hizo kwa nguvu zetu zote.
 
Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,979
2,000
Wazee kama mtakuwa mlisikiliza mdaharo wa Mbowe na Hamadi Rashidi mtakuwa mmemsikia Mh Hamadi Rashidi akisema kuna mtu alimwambia kuwa alibadili jina lake ili asijulikane dini gani ndio akipigiwa kura na kushida. Nadhani huyu jamaa anatufanya vilaza sana kuwa hapa bara watu huwa hatujuani. Hivi yeye mpaka leo anaamini majina yana maana sana ya kumtambulisha mtu huku kwetu kuwa ni dini gani? Mimi naamini kabisa watanzania hawatumii majina kumtambua mtu ni dini gani ila tunajuana siku nyingi sana kuwa fulani ni muumini wa dini gani. Sijui hayo madai yake yana malengo gani? Ila nashukuru Mbowe alimjibu kwa busara sana kuwa hakuna mtu anaweza pigiwa kura na dini moja akashinda uchaguzi.

Hapo hakuna cha kujiuliza, Hamad amethibitisha mwenyewe kuwa CUF ni chama cha KIISLAMU. CHADEMA hakuna udini, ndiyo maana hata wabunge wa kuchaguliwa wametoka katika imani mchanganyiko. Tuchukue mfano jimbo la Mbulu, ambayo 99.9% ni wakristo, lakini wamemchagua mbunge Mwislamu. VIVA CHADEMA.
 
Papa D

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
742
250
Hamad hamad hamad!
NAHISI HUNA TOFAUTI NA YULE MFALME ALIYETEMBEZWA UCHI WA MNYAMA KWA KUDANGANYWA KUWA AMEVAA NGUO ZINAZOONEKANA NA WATU WENYE BUSARA TU!

UNGEKUWA NA AKILI TIMAMU USINGEFIKIRIA HATA KUTOA ULE MFANO MAHALA PALE!
 
Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,979
2,000
Asante sana mkuu, mimi ingawa ni mkristo lakini siwezi kumchagua mtu mpuuzi asiyejali maslahi ya taifa eti kisa tu ni mkristo. Huo ni upumbavu ambao hata dhamiri yangu itanihukumu.

Acha upumbavu wa kujificha kwenye ukristo wewe ni MWISLAM pure halafu unaonyesha dhahiri huna nia njema na maisha ya watanzania maskini. Kufa na UISLAMU wako! Wapenda maendeleo hawajisemi wapo dini gani.
 
samora10

JF-Expert Member
Jul 21, 2010
7,546
2,000
Wazee kama mtakuwa mlisikiliza mdaharo wa Mbowe na Hamadi Rashidi mtakuwa mmemsikia Mh Hamadi Rashidi akisema kuna mtu alimwambia kuwa alibadili jina lake ili asijulikane dini gani ndio akipigiwa kura na kushida. Nadhani huyu jamaa anatufanya vilaza sana kuwa hapa bara watu huwa hatujuani. Hivi yeye mpaka leo anaamini majina yana maana sana ya kumtambulisha mtu huku kwetu kuwa ni dini gani? Mimi naamini kabisa watanzania hawatumii majina kumtambua mtu ni dini gani ila tunajuana siku nyingi sana kuwa fulani ni muumini wa dini gani. Sijui hayo madai yake yana malengo gani? Ila nashukuru Mbowe alimjibu kwa busara sana kuwa hakuna mtu anaweza pigiwa kura na dini moja akashinda uchaguzi.

Mpuuzi tu huyo.. hatukatai kwamba kuna wapuuzi wachache wanapiga kura kwa ushabiki wa udini, ila sio kwa scale anayoiongelea yeye ya kudecide mshindi
 
Baija Bolobi

JF-Expert Member
Feb 25, 2009
1,096
2,000
Nimefanya sample project ya uchaguzi huu na kugundua yafuatayo:
-Kwenye vituo vya kupigia kura, vijijini, vyenye 100% Wakiristo - matokeo yanaonyesha Slaa ana kura na Kikwete ana kura.
-Kwenye vituo vya kupigia kura, vijijini, vyenye "almost 100%" ya Waislam -matokeo yanaonyesha Slaa hana kura, Lipumba wana kura za kutosha.
-Viongozi wa madhehebu mbalimbali wanapoiunga mkono CCM, hakuna kelele za udini, lakini wakiona kiongozi mmoja au wawili wakiunga mkono CUF au Chadema, tena kwa kujificha, kelele zinapigwa kuwa kuna udini.

Conclusion yangu ni hii:
-CCM inapoona inakataliwa na wananchi, inadai kuna udini
-CCM inapokubalika, inashadidia kuwa kuna amani na utulivu

Ushahidi wa hapo juu, unaungwa mkono na haya:
-Mwaka 2005 Jk aligombea na Mbowe - hakudai kuna udini
-Mwaka 2010 JK kagombea na Dr. Slaa - akadai kuna udini kwa kuwa alikataliwa na watu wengi kuliko 2005. Kwa udini sasa na si 2005?
 
Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,698
2,000
Mbowe said, Suala la dini linapewa kipaumbele baada ya viongozi kulitamka......nami namuunga mkono koz am sure kama tutalipa ukimya basi halitakua na nafasi katika Tz yetu hii......
You mean Mbowe bin Said!?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom