Galadudu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 2,304
- 780
Kusema ule ukweli, huyu shemeji/wifi yenu toka niwe nae huu ni mwaka wa 7 sasa na hata siku moja sijawahi kumtandika kibao hata kamoja.
Jana sasa Kuna sehemu tulikuwa tunaenda ni nje kidogo ya mji, nikaazima gari kwa rafiki yangu (maana mimi sina) tumeenda safari yetu vizuri tu sasa wakati wa kurudi tulipoanza kuingia mjini tukapita sehemu kuna kiji grosary tukaamua kugonga chupa zetu za bia mbili mbili na kilo moja ya kale ka nyama ambako wengine wanapiga kelele kuwa sir god amekapiga marufuku kuliwa (lakini wakiwa chemba wanabadilisha majina ili kujipa uhalali wa kukala).
Tulipomaliza tukaendelea na safari huku story zimekolea ghafla akaingia barabarani mwendesha bodaboda na mbele yetu zinakuja gari mbili huku zimetanua barabarani na nyuma yangu tena kuna gari inataka kuniovateki, kwa kihoro shemeji/wifi yenu akaniparamia mwilini kwa ghafla hadi nikataka kupoteza uelekeo.
Kwa harakaharaka nikaachia kelbu mbili za maana kwake akatulia,nikaweka utulivu barabarani ni solve kwanza tatizo lililokuwa linakaribia kutufika (tena ukizingatia hii ni December).
Nilipoweka mambo sawa nikapaki gari pembeni nikaanza kumlaumu sana kwa kitendo alichokifanya huku nikimwelezea na matatizo ambayo angesababisha nikaongezea na kumkumbusha kuhusu historia mbali mbali za Huu mwezi,yeye akawa yuko kimya tu.
Nikawasha gari safari hiyo hadi home kibubu bubu tu, asubuhi nikaenda kazini nilipotoka nikaenda kwenye kikao cha harusi ya rafiki yangu (sio yule aliyeniazima gari)saa hizi nimeingia home eti bado kanuna tu toka hiyo jana,sasa nauliza bandugu hivi Huyu mtu nikimuongeza kelbu nyingine nitakuwa nakosea kweli.