Tuyuku
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 3,292
- 1,935
Huyo dawa yake ndogo sana. Weka maji bafuni. Mbembeleze mkaoge. Mfanyie fanyie Zile vurugu zenu. Akinogewa mpeleke National Stadium. Convert Zile kelbu mbili za fasta kuwa Messi mbili za kiufundi kweli hadi jicho lake liwe nyanya. Pumzikeni kidogo huku mmekumbatiana. Nendeni bafuni mkaoge. Rudini chumbani kwa mahaba yote. Wakati mnapiga stori za kuusaka usingizi mwambie kuwa mkiwa barabarani asiwe anapanic atasababisha ajali. Usimkumbushe Lile tukio. Unakuwa unamwelekeza upya. Achana na mambo ya kelbu. Mapenzi ni mbinu za kumteka kiakili Mpenzi wako. Ukimchapa tena kelbu mie ntaunda urafiki naye.