melisafilbert
Member
- Sep 3, 2013
- 67
- 9
Nipo hapa sasa kuna shosti ananichekesha anasema eti yeye ameolewa kama miaka 4 iliyopita lkn anasema mume wake hajawai kutaja jina lake (mkewe) hata siku moja ni mama naniii ndo imetawala na sometimes darling na wakati wa uchumba vilevile hakuwa anamwita jina ni darling basi lkn jina lake lile yaani halitajagi sasa yeye anatamani amwite jina lake sometimes sio mda wote tu mama naniiii mim nimemwambia aache utoto lkn yeye anaonyesha ni serious kweli haya wanaJF niambieni huu ni utoto au kuna umuhimu wa mume kuwa anamwita mpenzi wake jina lake halisi sometimes kwasababu yeye anasema hajawai kusikia mume toka uchumba kalitaja jina lake