zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,835
Wadau eeh! Its time.
Najaribu kuvuta taswira ya wanawake warembo na wazuri. Huwa najiuliza hivi uzuri/urembo wao unaweza kuchangia kunogesha tendo.
Mimi kwa akili yangu najuaga mwanamke akiwa mzuri/mrembo kwenye tendo ndio atanoga tofauti na wale wenye urembo wa kawaida.
Wale wenye urembo wa kawaida huwa nadhani watakuwa wananoga kidogo tu kwenye jamvi.