Eti jamani urembo wa mwanamke unachangia kunogesha tendo?

"🎵Uzuri uko ndani kwa nje mnajiongopea. Muuza sura usikose amani makunyanzi yakimtokea"🎵
Farid Kubanda
 
Wadau eeh!Its time.Najaribu kuvuta taswira ya wanawake warembo na wazuri.

Huwa najiuliza hivi uzuri/urembo wao unaweza kuchangia kunogesha tendo..

Mi kwa akili yangu najuaga mwanamke akiwa mzuri/mrembo kwenye tendo ndo atanoga tofauti na wale wenye urembo wa kawaida...

Wale wenye urembo wa kawaida huwa nadhani watakuwa wananoga kidogo tu kwenye jamvi
View attachment 1566414

Absolutely
 
Back
Top Bottom