.....Tarehe 26 mwezi uliopita tulipata maendeleo ya kuwekewa umeme katika nyumba ya kupanga, tukawekewa na tanesco unit 50 za kuanzia, siku 11 baadae luku ikaisha. mama mwenye nyumba akatuchangisha elfu tanotano zikapatikana elfu 50 _elfu hamsini hiyo ikatosha kununua unit 25. (YAANI ELFU 50 =UNIT 25) .....
Matumizi yenu ya umeme ni mazuri sana, yaani mko wapangaji 10 kwa siku mnatumia kama units 5.
Kutokana na maelezo yako sidhani kwa umeme wa elfu 50 mkapewa units 25, hapo Mama mwenye nyumba amewaibia.
Welcome to TANESCO
Kwa hesabu ya haraka haraka kwa units 50 kwa wateja wa kawaida (T1).
Unit 1 ni Sh. 221.00
bila VAT, EWURA & REA
Electricity Charges
inamaana units
50 = Sh. 11,050
Tuweke na Service Charge ya mwezi = Sh. 3,841
bila VAT, EWURA & REA
Electricity Charges
Inawezekana mmelipia Service Charge ya mwezi 1, hapa tukuchukue pia Service Charge ya
miezi 2
Units 50 + Service Charge
Sh. 11,050 + Sh. 7,682 = Sh. 18,732
ama
Sh. 11,050 + Sh. 3,841 = Sh. 14,891
Units 50 inaweza ikawa kwenye Sh. 18,732 kwa S.C ya miezi 2
ama Sh. 14,891.00 kwa S.C ya mwezi 1 bila VAT, EWURA & REA
Units 50 = Sh. 18,732 bila V, E & R
Units 50 = 22,853.04 (22% ya V, E & R)
ama
Sh. 14,891.00 bila V, E & R
Sh. 18,167.02 (22% ya V, E & R)
Kwa Sh. 50,000 mtakuwa mmekatwa kama Sh. 22,853.04 ama Sh. 18,167.02 ikabakia kama
Sh. 27,146.96 ama Sh. 31,832.98
Kwa umeme wa kama Sh. 27,146.96 ama Sh. 31,832.98 mnnatakiwa mpate units zaidi ya 50.