eti inasemekana kuwa.......

na wanaume wakikosa kitu kamili wanakuwaje?????.......hahahahaah!!!!!!!!!!!!!
kuna ukweli kdg labda hormone zile zinatoka znaenda miguuni kupitia kiunoni so znafanya valva ierupt then inamultiply to......... afu ikija kushukia machoni mtu anakuwa kipofu na ivyo anakuwa ana hasira tu muda wote cz haon tena!!!
NI UKWELI TUPU UO.
tak t!!!!!!!!!!!!!:lying:
 
Labda ni kweli maana wengine huwa tunakuwa na hasira pasipo kujua sababu...Kama muzee amekaa mbali kwa muda mrefu ..akili inakuwa kama imechoka kufanya kazi inabidi ilazimishe tu ..
Hii inawezekana ni sababu ambayo nilikuwa siijui:hippie:
 
The Following User Says Thank You to Rose1980 For This Useful Post:

Teamo (Today)​
 
Labda ni kweli maana wengine huwa tunakuwa na hasira pasipo kujua sababu...Kama muzee amekaa mbali kwa muda mrefu ..akili inakuwa kama imechoka kufanya kazi inabidi ilazimishe tu ..
Hii inawezekana ni sababu ambayo nilikuwa siijui:hippie:
The Following User Says Thank You to FirstLady1 For This Useful Post:

Teamo (Today)​
 
Labda ni kweli maana wengine huwa tunakuwa na hasira pasipo kujua sababu...Kama muzee amekaa mbali kwa muda mrefu ..akili inakuwa kama imechoka kufanya kazi inabidi ilazimishe tu ..
Hii inawezekana ni sababu ambayo nilikuwa siijui:hippie:
Here we go!
Shuhuda wa kwanza....:smile-big:
 
wanaume kutoka nje NI PART OF OUR DAILY ROUTINE!nachelea kusema ni sehemu ya maisha yetu!tunatoka nje na tunaziheshimu na kuzijali ndoa....

MWANAMKE AKIANZA KU-CHEAT(hapa tunazungumzia ndoa sasa)........HA HA HA HA!bora hata atumie drugs utampeleka REHAB,lakini akianza ku-cheat anawehuka maanake huko anatoa kila kitu,na anakabiliana na kila mikikimikiki...!wanaotoka na wake za watu wanajua wanachowafanyia

mpaka ameanza ku cheat c kwamba na wewe umem cheat vya kutosha mpaka kashindwa kuvumilia akaona nae ajaribu? sasa mnaonaje mkiacha ku cheat ili kuepusha hizi tafrani?
 
Hapa haizungumziwi ishu ya kucheat wajamen...
Si mmemona FL1 kasema yeye akikosa ile kitu hadi netweki ya kichwa inakata?
 
mpaka ameanza ku cheat c kwamba na wewe umem cheat vya kutosha mpaka kashindwa kuvumilia akaona nae ajaribu? sasa mnaonaje mkiacha ku cheat ili kuepusha hizi tafrani?
mmh!
sidhani kama ni kitu kinachowezekana!
kuna wakati mwanaume ni lazima acheat ili asimchoshe mkewe....!

think of it......!
 
Sie twaweza toka huku tumebakiza roho zetu ndani

bahati yenu nzuri, ukimaanisha sisi tunatoka na roho zetu kabisa, hamuoni kama nyie ndio mnasabanisha yote haya, kuna wale wanatumia formula ya if u do me i do u, sasa ukimduu na yeye anakuduu,sasa hamuoni mnajiletea matatizo wenyewe?
 
unajua nyamayao hata NATURE INAKUBALIANA NA HALI HALISI!

i mean the question of men CHEATING IS THERE TO STAY....!SASA THE THING IS HOW TO CHEAT!kwamba how do i implement the strategies to comply with this natural thing,hapo ndo wanaume wengine wanashindwa na wanaishia kuwafrustrate wake zao!mwisho wa siku tunakuwa na a number of frustrated women huko uraian
 
mmh!
sidhani kama ni kitu kinachowezekana!
kuna wakati mwanaume ni lazima acheat ili asimchoshe mkewe....!

think of it......!

cjui kwa wengine lakini mie hanichoshagi, ndio starehe yangu hiyo.....mdogo wangu anachokaga?
 
ucpindishe maneno, ananilissha nakula nashiba na kuridhika kabisa...huko kwingine hayanihusu.
hakukuhusu lakini lazima aende!
think of the forty maternity days baada ya kujifungua..........

hebu think it ALOUD!anakusubiri?
 
Forty days tu??? wengine huambiwa kipindi chote mama anaponyonyesha asiguswe. Sasa fumes za vichwani kwa wanaume zinaweza kuwa sawa bila kucheat?
 
hakukuhusu lakini lazima aende!
think of the forty maternity days baada ya kujifungua..........

hebu think it ALOUD!anakusubiri?

inabidi nikuulize kama una hakika na hilo maana najua bado hujafikia huko, una hakika?
 
Back
Top Bottom