eti inasemekana kuwa.......

hii ni kweli asilimia 120. kama leo mi nna hasira kinoma,oooh maimai usipime......... kitaalamu wanasema mwanamke akipata orgasim basi anakua so happy.the hapiest one.na wanaridhika sana. akikosa hata watoto watatizamwa vibaya,ingawa kosa si lao.sasa mbaya zaidi ni pale ukute mtu muzima hapendi discussion kuhusu majamboz basi mamiiito atabaki anaumia tu.
Angalau....
senkyu!
 
Mh mie sina cha kuchangia hapa kwani kwangu hii haiapply: Kuna wakati nimekaa kwa muda mrefu tu bila ku'fikishwa' plus mafrustrations kibao tu kwenye hiki nyanja but I think it was the very time I was soo calm- sasa sijui inategemea na reaction ya mtu na mtu au!

nyamayao unanifurahisha na comments zako

...MJ'1 pole na kuvuka mtihani huo, huenda hali yako yako ilichangiwa na depression japo kidogo.
 
Inasemekana mwanamke asiepata kichapo kizuri cha chakula ya wakubwa mara kwa mara huwa bitter........kama umewahi kufanya kazi chini ya Boss mwanamke au unafanya kazi na wanawake ambao hawapati "ile mwili inataka" wanakuwa wakali wakali tuuuu....wengine wako humu, from nowhere unatukanwa 4 no reason....

Siyo kusemekana, ni kweli: Mwanamke yeyote yule ambaye yupo kwenye mahusiano na "hafikishwi kileleni" huwa ana tendency ya kujisikia upungufu - depression fulani (assuming kuwa alishawahi kufikishwa before). Kwahiyo mara nyingi hiyo hali umfanya ajisikie "kisirani" (sio hasira as such) kwa kuhisi kuwa either havutii tena or hawezi tena kufurahia "tendo"
 
Hasira na ukali vinategemea hulka ya mtu,wanawake ni viumbe wavumilivu sana ambao wanaweza kukaa muda mrefu bila kujamiana.
 
Hasira na ukali vinategemea hulka ya mtu,wanawake ni viumbe wavumilivu sana ambao wanaweza kukaa muda mrefu bila kujamiana.

ni kweli ni wavumilivu lakini inapofikia amepata tendo lenyewe halafu asilifikie malengo huwa tofauti na kukosa kabisa. ikiwa hajashiriki tendo lenyewe huwa shwari kabisaaaa ila kupata nusu ni sawa na mgonjwa kupewa dozi nusu,,,,it need full dose to kill the ugonjwa...so it need full orgasm to make a woman out of kisirani..
ukiona ambae hapatwi na kisiran basi huyo hajawahi kufika mwisho tangu aanze hivo kwake hakuna tofauti
 
ila kuondokana na hali hii yaweza kua hata kwa kumshirikisha mwenzako kua hujafika mwisho.kama ndo haambiliki hapo inakula kwako.kama ni muelewa inatoa faraja.
 
Kwa faida ya Teamo ........ sikuchepuka hata siku moja but baada ya kuona 'hailipi' niliachia ngazi ili kupana nafasi ya kuwa na furaha katika maisha hayo.
Nafikiri nimejibu swali lako mheshimiwa.
 
Kisasangwe nikutengenezee kahawa au chai? maana senksi pekee naona kama aitoshikwenye hizi uzful posts zako!
 
...MJ'1 pole na kuvuka mtihani huo, huenda hali yako yako ilichangiwa na depression japo kidogo.
Siwezi kukataa hapo kwenye blue..... kwa sababu sikuwa nikijielewa niko kundi gani : mwenye kupata au kukkosa nilijiona kawaida kuliko kawaida yenyewe so inawezekana ndo nilikuwa naanza stage za depression Mbu
 
Kwa faida ya Teamo ........ sikuchepuka hata siku moja but baada ya kuona 'hailipi' niliachia ngazi ili kupana nafasi ya kuwa na furaha katika maisha hayo.
Nafikiri nimejibu swali lako mheshimiwa.
NOT SATSFACTORY!........
ni kama hujajibu vile yani:A S-coffee::A S-coffee::A S-coffee:
 
Teamo na Maskini _Jeuri...... it is your homework. Go an sit on it hahahaha mmenishikia baaaango wakati ndo nimeshawajibu!!
 
Inasemekana mwanamke asiepata kichapo kizuri cha chakula ya wakubwa mara kwa mara huwa bitter........kama umewahi kufanya kazi chini ya Boss mwanamke au unafanya kazi na wanawake ambao hawapati "ile mwili inataka" wanakuwa wakali wakali tuuuu....wengine wako humu, from nowhere unatukanwa 4 no reason....

Huu ni ukweli mtupu. Mimi nikiikosa hii kitu kwa mda mrefu nakua na hasira, flustration na nakua na hali ya kukata tamaa.
Kifupi nakua nipo nipo tu, ukipita karibu yangu unaweza toka na tusi au nikakuaibisha hata kwa jambo simple
 
hivi Luv unagombea kwa tiketi ya UVICCM? Kura 'zilitosha'?:tape: (nimekumiss)
Darling Keizer hahah hebu ntake radhi upesi mpenzi kabla 'sijanuna' ati.............. mie na ugomvi wapi na wapi?

Mzima lakini? You are missed sana bana
 
huo utafiti unakaukweli wengi wao hawako nomal ila inategemea aina ya maisha anayoishi na msimamo wake katika imani. ila kuna kabila moja sitaki kulitaja hapa ila matusi, dharau na kufokea hata wanaume ni Desturi yao, yani hawana heshima kabisa, kuna mmoja alikuwa bosi wangu mpaka mumewe alikuwa anamfokea, hayo makabila nafikiri yako matatu hivi si jui wenzangu mnayajuaaaaa maaana ni mcharuko kwa kwenda mbele:help:
 
Wanawake wa aina hiyo unayoitaja, hawawezi kupewa chakula cha wakubwa kisawasawa kutokana na kujifanya wanajua , maana wa aina hiyo atakusomea risara, hotuba, masharti kibao hakuna masikilizano vuvuzela linapulizwa kuanzia sebuleni mpaka basi sasa ili kuwakomesha unatumia fomula ya kuku, akijichanganya tu watu weweeeee unarudi. unatulia kimyaaaaaaa ndio maana sasa akifika ofisini anatukana watu ovyo, shida imetokea mbali
 
Umeshamsahau Teamo mara hii. For him na group lake "for men Infidelity is there to stay but for women its a big NO" Kwa kifupi mwanamke hatarajiwi kutoka nje ya ndoa.

Well,,, LAKINI WANATOKA NJE SIYO? Kwa nini wanatoka nje ya ndoa?:help:
 
Back
Top Bottom