THIS IS VERY OBVIOUS DUDE!............Inawezekana huchoki kwa sababu anamega nje.
..Ah! hawa nao hawaeleweki bana. wasipopewa mambo sawasawa tatizo wakipewa sawasawa tatizo pia. Kuna mmoja aliwahi kupeleka mashitaka kwa mshenga kuwa jamaa wakiwa honey moon tu ni kutwa X 3 kwa siku zote 5 walizokaa huko tena ni rigwaride la kiwango mama akaona eh! sasa sijui lipi linawafaa....mi chichemi:tape::tape::tape:Hiyo ya ukali wa mtu na kichapo, ndio naipata leo.
HUKUTEMPA ''kuchepuka'' hata siku moja?:typing::typing:Mh mie sina cha kuchangia hapa kwani kwangu hii haiapply: Kuna wakati nimekaa kwa muda mrefu tu bila ku'fikishwa' plus mafrustrations kibao tu kwenye hiki nyanja but I think it was the very time I was soo calm- sasa sijui inategemea na reaction ya mtu na mtu au!
nyamayao unanifurahisha na comments zako
unafanya mapenzi na pengine kushika mimba wakati mtoto bado mchanga na ananyonyamsaada tafadhali................kubemenda ndo kufanya nini?
:ranger::ranger::ranger:
:brushteeth::brushteeth::brushteeth:
:nono::nono::nono:
ahaaa, sawa! leo umeamua kuwa bubu?
:tape::tape::tape:
:boxing::boxing::boxing:
iko biyeeeeeeeeee!
:tape::shut-mouth:
:fencing::fencing::fencing:
kitaalamu hii tunaita POINT OF NO RETURN!
mwanamke akianza kutoka nje ndo basi tena!...atawapa mahawara hadi TIGO!
wanaume kutoka nje NI PART OF OUR DAILY ROUTINE!nachelea kusema ni sehemu ya maisha yetu!tunatoka nje na tunaziheshimu na kuzijali ndoa....
MWANAMKE AKIANZA KU-CHEAT(hapa tunazungumzia ndoa sasa)........HA HA HA HA!bora hata atumie drugs utampeleka REHAB,lakini akianza ku-cheat anawehuka maanake huko anatoa kila kitu,na anakabiliana na kila mikikimikiki...!wanaotoka na wake za watu wanajua wanachowafanyia
mmh! sidhani kama ni kitu kinachowezekana! kuna wakati mwanaume ni lazima acheat ili asimchoshe mkewe....! think of it......!
mi ndo najua ukweli bwana!...
HUKUTEMPA ''kuchepuka'' hata siku moja?:typing::typing:
Mh mie sina cha kuchangia hapa kwani kwangu hii haiapply: Kuna wakati nimekaa kwa muda mrefu tu bila ku'fikishwa' plus mafrustrations kibao tu kwenye hiki nyanja but I think it was the very time I was soo calm- sasa sijui inategemea na reaction ya mtu na mtu au!
nyamayao unanifurahisha na comments zako
unafanya mapenzi na pengine kushika mimba wakati mtoto bado mchanga na ananyonya
hahaha na we Teamo Teamo maswali gani hayo :smile:
aa jamani nyie .......................mnakuja na aidia za ki loooongi mpaka maana tunashindwa kuelewa!
hivi kweli katika umri huu mtu anapata mimba kama hataki?
May your Infidelity Rest In Peace...:rip:....:amen:
hahahahahaha!hahaha na we Teamo Teamo maswali gani hayo :smile:
Gaijin...kubemenda ni kitendo cha kufanya mapenzi ukiwa mzazi bila kufata usafi, nikimaanisha labda baba kachepuka nje kaja hajajiweka msafi mkafanya mapenzi, hata mume/mke wanatakiwa baada ya tendo wajiweke wasafi kuzuia mtoto kunyonya maziwa machafu/mabaya...kunamfanya mtoto awe na hali tofauti eg atachelewa kutambaa/cmama, kuumwa umwa nk.