ELI COHEN
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 9,375
- 28,484
Basi huyu jamaa ni omnipresent. Halafu miaka yake inakwenda nyuma.secretarybird Mjusi Sharobalo Vincenzo Jr ila huyu jamaa HAYA LAND yupo kila mahala😂😂
View attachment 3519740
Ila we jamaa hapana aisee 🤣Huyo jamaa anamuita Nyerere dogo
Yaani Kila mwaka sura unazeeka lakini umri unapungua 😂.Ana benamin butoon disease 😂
Huyu ilitakiwa awe amestaafu miaka kumi iliyopitaIla we jamaa hapana aisee 🤣
Huyu jamaa ndio first born wa kina Robert Mugabesecretarybird Mjusi Sharobalo Vincenzo Jr ila huyu jamaa HAYA LAND yupo kila mahala😂😂
View attachment 3519740
Nasikia yeye ni mdogo wake yule Rais wa Cameroon Paul Biya mwenye miaka 92.Huyu ilitakiwa awe amestaafu miaka kumi iliyopita
Mtoa mada uwe na tabia ya kufanya research, sio unaokota kila taarifa mtandaoni.secretarybird Mjusi Sharobalo Vincenzo Jr ila huyu jamaa HAYA LAND yupo kila mahala😂😂
View attachment 3519740
Wamempunja mwamba. Jamaa anaonekana kabisa under 18. Wamemuongezea miaka, sio vzrsecretarybird Mjusi Sharobalo Vincenzo Jr ila huyu jamaa HAYA LAND yupo kila mahala😂😂
View attachment 3519740