DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,074
- 1,644
Hahaha we jamaa mkorofi sanaNi kweli
Yeye na Dr Slaa Waseminari wa Itaga
Kanisa Moja Takatifu la Mitume!
Hahaha we jamaa mkorofi sanaNi kweli
Yeye na Dr Slaa Waseminari wa Itaga
Kanisa Moja Takatifu la Mitume!
Kubali kataa ni moja ya giant wa kisiasa.Dogo nikuambie kitu? Membe hajawahi kuwa giant wa kisiasa hapa Tanzania.
Serikali imechukulia ukubwa but si wananchi. Kuchukulia ukubwa kunategemeana na nani ana uhusiano gani na mhusika. Membe alikuwa mtu wa kawaida kisiasa. Ila kwa pia mipango ya kando ninyi mnaweza kuwa mmeumizwa.Kubali kataa ni moja ya giant wa kisiasa.
Ndio maaana msiba waks umechukuliwa kwa uzito mkubwa na serikali yako.
Mamlaka zetu zinakuchagua sababu wewe ni mwanaccm mzuri na una mtu wa kukuweka pale ulipo
Yule hakuna jasusi sema wabongo wanapenda kumpamba mtu😀😀Kuna maana kubwa sana ya spy / jasusi ni intelligence officer anayefanyia kazi zake nje ya mipaka ya nchi yake,Jasusi gani? Alikuwa tu Tiss kama Tiss wengine. Jasusi anaenda aibika na chama cha mchongo anatoka ccm. Anadhalilika tu eti atashinda dk ya 90
Anayemfanyisha kazi ni nani huyo???Kauli mbaya sana. Tuhurumieni wafiwa jamani, Mh. Membe ana familia na ndugu na jamaa. Tumuache apumzike kwa amani
Vita ilianzia wapi na kuishia wapi? Kuna waliokufa? Au Membe alinusuru wote? Mateka je?Umeanza utani wako wakati unajuwa Taifa lipo kwenye majonzi ya kumpoteza mtu aliyepigania heshima ya Tanzania katika siasa na masuala ya kimataifa kipindi akiwa Waziri wa Mambo ya nje
Stori za vijiweni hizi1. Akiwa JKT alikuwa na uwezo mkubwa wa shabaha tena kwa kutumia mikono yote miwili akiweka bunduki kulia na kutumia mkono wa kulia kuvuta trigger au kushoto na kulenga kwa kiwango kike kike kuvuta trigger na kulenga kwa uwezo ule ule .
2. Wakati akijiunga JKT alikuwa na mkanda mweusi kama ule wa Rais Putin ambao alijifunza mapigano akiwa seminari
3. Alikuwa na uwezo mkubwa wa kudanganya na kujiamini sana mkimsikiliza lazima ikubali kumbe wapi ,aliweza kudanganya (nguvu ya ushawishi) bila kubainika ,hii ni moja ya sifa kuu ya jasusi
4. Alikuwa na uwezo wa kuficha hasira zake hata kama anapitia mateso makali au stresses
5. Ukiacha kufaulu sana shule hasa ya high school pia aliweza kunywa pombe kiwango chochote bila kulewa wala kuyumba na kukumbuka nini amesema na nini aliambiwa
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Jasusi mkubwa hawezi kuwa vile. Wabongo wana ushamba mwingi sana.Yule hakuna jasusi sema wabongo wanapenda kumpamba mtu😀😀Kuna maana kubwa sana ya spy / jasusi ni intelligence officer anayefanyia kazi zake nje ya mipaka ya nchi yake,
Wabongo ata tapeli wanaweza kumuita usalama😀😀Jasusi mkubwa hawezi kuwa vile. Wabongo wana ushamba mwingi sana.
Naitwa RoadLofaWabongo ata tapeli wanaweza kumuita usalama
Vijana wengi waendao JKT kwa mafunzo wenye uwezo mkubwa wa kulenga shabaha wengi huajiriwa na majeshi ikiwemo Polisi wale wa defender akikulenga akikosa umrudie Mungu usitende dhambi tena1. Akiwa JKT alikuwa na uwezo mkubwa wa shabaha tena kwa kutumia mikono yote miwili akiweka bunduki kulia na kutumia mkono wa kulia kuvuta trigger au kushoto na kulenga kwa kiwango kike kike kuvuta trigger na kulenga kwa uwezo ule ule .
Mbona hujawahi kumtakia Magufuli mwangaza wa milele amekukosea nini?MWENYEZI MUNGU amlaze mahali pema peponi na kumwangazia mwanga wa Milele.
Kutafutia uteuziYa nini