Eti hizi ndio sifa 5 zilimfanya Membe apewe ajira TISS

1.Akiwa JKT alikuwa na uwezo mkubwa wa shabaha tena kwa kutumia mikono yote miwili akiweka bunduki kulia na kutumia mkono wa kulia kuvuta trigger au kushoto na kulenga kwa kiwango kike kike kuvuta trigger na kulenga kwa uwezo ule ule .

2.wakati akijiunga JKT alikuwa na mkanda mweusi kama ule wa Rais Putin ambao alijifunza mapigano akiwa seminari

3.Alikuwa na uwezo mkubwa wa kudanganya na kujiamini sana mkimsikiliza lazima ikubali kumbe wapi ,aliweza kudanganya (nguvu ya ushawishi) bila kubainika ,hii ni moja ya sifa kuu ya jasusi

4.Alikuwa na uwezo wa kuficha hasira zake hata kama anapitia mateso makali au stresses

5.Ukiacha kufaulu sana shule hasa ya high school pia aliweza kunywa pombe kiwango chochote bila kulewa wala kuyumba na kukumbuka nini amesema na nini aliambiwa

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sifa kuu ni kudanganya tu,

Sijajua kwa nini hakuendelea kudanganya ili asife
 
unatuchukuliaje?
26b18780aa6c979bd54482bbec18f46adce41c34r1-746-734v2_uhq.jpg
 
1.Akiwa JKT alikuwa na uwezo mkubwa wa shabaha tena kwa kutumia mikono yote miwili akiweka bunduki kulia na kutumia mkono wa kulia kuvuta trigger au kushoto na kulenga kwa kiwango kike kike kuvuta trigger na kulenga kwa uwezo ule ule .

2.wakati akijiunga JKT alikuwa na mkanda mweusi kama ule wa Rais Putin ambao alijifunza mapigano akiwa seminari

3.Alikuwa na uwezo mkubwa wa kudanganya na kujiamini sana mkimsikiliza lazima ikubali kumbe wapi ,aliweza kudanganya (nguvu ya ushawishi) bila kubainika ,hii ni moja ya sifa kuu ya jasusi

4.Alikuwa na uwezo wa kuficha hasira zake hata kama anapitia mateso makali au stresses

5.Ukiacha kufaulu sana shule hasa ya high school pia aliweza kunywa pombe kiwango chochote bila kulewa wala kuyumba na kukumbuka nini amesema na nini aliambiwa

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu yet mwenye aliki nyingi anajua kutofautisha kati ya right answer, correct answer na honest answer Membe alikua na io intelligence
 
Jasusi gani? Alikuwa tu Tiss kama Tiss wengine. Jasusi anaenda aibika na chama cha mchongo anatoka ccm. Anadhalilika tu eti atashinda dk ya 90
Tunafurahi ni kuwa ccm mna wivu n chuki mbaya mpo tayari kularuana wenyewe kwa kuwa ni mahuha kupitiliza. Bila hivyo taifa lingeyumba kwa utaahira wenu ninyi.
 
3. Ushawishi ni uongo. Membe hakuwa na ushawishi labda kudanganya. Katika watu ambao hawakuwa na mvuto katika Urais ni pamoja na Membe.

4. Kuficha hasira nakataa.... Alikuwa anaropoka na kuonesha hisia. Alisema ana maadui ambao siku akichukua nchi wahame.

5. kuna jamaaa zangu wana uwezo huo pia wala si kitu kikuuuuuubwa cha kutisha
Labda jamaa zako pia wako TISS😂😂
 
Ufaulu wa membe high school ulikuwa hafifu sana, akakosa sifa ya kusoma chuo kikuu.

Ilibidi asome diploma ya ualimu kwanza ndipo baadaye akajiunga na chuo kikuu.

We know what you don't know.

Miaka hiyo ilikuwa hauendi chuo kikuu direct kutoka jkt hata kama umefaulu vipi nadhani waliokuwa wanaruhusiwa direct waliokuwa wanaenda SUA
 
Back
Top Bottom