Eti hizi ndio sifa 5 zilimfanya Membe apewe ajira TISS

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,884
22,601
1. Akiwa JKT alikuwa na uwezo mkubwa wa shabaha tena kwa kutumia mikono yote miwili akiweka bunduki kulia na kutumia mkono wa kulia kuvuta trigger au kushoto na kulenga kwa kiwango kike kike kuvuta trigger na kulenga kwa uwezo ule ule .

2. Wakati akijiunga JKT alikuwa na mkanda mweusi kama ule wa Rais Putin ambao alijifunza mapigano akiwa seminari

3. Alikuwa na uwezo mkubwa wa kudanganya na kujiamini sana mkimsikiliza lazima ikubali kumbe wapi ,aliweza kudanganya (nguvu ya ushawishi) bila kubainika ,hii ni moja ya sifa kuu ya jasusi

4. Alikuwa na uwezo wa kuficha hasira zake hata kama anapitia mateso makali au stresses

5. Ukiacha kufaulu sana shule hasa ya high school pia aliweza kunywa pombe kiwango chochote bila kulewa wala kuyumba na kukumbuka nini amesema na nini aliambiwa


USSR
 
1.Akiwa JKT alikuwa na uwezo mkubwa wa shabaha tena kwa kutumia mikono yote miwili akiweka bunduki kulia na kutumia mkono wa kulia kuvuta trigger au kushoto na kulenga kwa kiwango kike kike kuvuta trigger na kulenga kwa uwezo ule ule .

2.wakati akijiunga JKT alikuwa na mkanda mweusi kama ule wa Rais Putin ambao alijifunza mapigano akiwa seminari

3.Alikuwa na uwezo mkubwa wa kudanganya na kujiamini sana mkimsikiliza lazima ikubali kumbe wapi ,aliweza kudanganya (nguvu ya ushawishi) bila kubainika ,hii ni moja ya sifa kuu ya jasusi

4.Alikuwa na uwezo wa kuficha hasira zake hata kama anapitia mateso makali au stresses

5.Ukiacha kufaulu sana shule hasa ya high school pia aliweza kunywa pombe kiwango chochote bila kulewa wala kuyumba na kukumbuka nini amesema na nini aliambiwa


USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Akiamka na kukanusha?
 
5.Ukiacha kufaulu sana shule hasa ya high school pia aliweza kunywa pombe kiwango chochote bila kulewa wala kuyumba na kukumbuka nini amesema na nini aliambiwa


USSR
Ufaulu wa membe high school ulikuwa hafifu sana, akakosa sifa ya kusoma chuo kikuu.

Ilibidi asome diploma ya ualimu kwanza ndipo baadaye akajiunga na chuo kikuu.

We know what you don't know.
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom