Eti hizi ndio sifa 5 zilimfanya Membe apewe ajira TISS

1.Akiwa JKT alikuwa na uwezo mkubwa wa shabaha tena kwa kutumia mikono yote miwili akiweka bunduki kulia na kutumia mkono wa kulia kuvuta trigger au kushoto na kulenga kwa kiwango kike kike kuvuta trigger na kulenga kwa uwezo ule ule .

2.wakati akijiunga JKT alikuwa na mkanda mweusi kama ule wa Rais Putin ambao alijifunza mapigano akiwa seminari

3.Alikuwa na uwezo mkubwa wa kudanganya na kujiamini sana mkimsikiliza lazima ikubali kumbe wapi ,aliweza kudanganya (nguvu ya ushawishi) bila kubainika ,hii ni moja ya sifa kuu ya jasusi

4.Alikuwa na uwezo wa kuficha hasira zake hata kama anapitia mateso makali au stresses

5.Ukiacha kufaulu sana shule hasa ya high school pia aliweza kunywa pombe kiwango chochote bila kulewa wala kuyumba na kukumbuka nini amesema na nini aliambiwa

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
3. Ushawishi ni uongo. Membe hakuwa na ushawishi labda kudanganya. Katika watu ambao hawakuwa na mvuto katika Urais ni pamoja na Membe.

4. Kuficha hasira nakataa.... Alikuwa anaropoka na kuonesha hisia. Alisema ana maadui ambao siku akichukua nchi wahame.

5. kuna jamaaa zangu wana uwezo huo pia wala si kitu kikuuuuuubwa cha kutisha
 
Wanaweza wakawa nao ila hawapo kwenye rada za TISS

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Akiwa JKT alikuwa na uwezo mkubwa wa shabaha tena kwa kutumia mikono yote miwili akiweka bunduki kulia na kutumia mkono wa kulia kuvuta trigger au kushoto na kulenga kwa kiwango kike kike kuvuta trigger na kulenga kwa uwezo ule ule .

2.wakati akijiunga JKT alikuwa na mkanda mweusi kama ule wa Rais Putin ambao alijifunza mapigano akiwa seminari

3.Alikuwa na uwezo mkubwa wa kudanganya na kujiamini sana mkimsikiliza lazima ikubali kumbe wapi ,aliweza kudanganya (nguvu ya ushawishi) bila kubainika ,hii ni moja ya sifa kuu ya jasusi

4.Alikuwa na uwezo wa kuficha hasira zake hata kama anapitia mateso makali au stresses

5.Ukiacha kufaulu sana shule hasa ya high school pia aliweza kunywa pombe kiwango chochote bila kulewa wala kuyumba na kukumbuka nini amesema na nini aliambiwa

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwacheni baba yetu apumzike jamani
 
Yaani sifa Hadi za kunywa pombe zimempa mtu nafasi TISS? basi nina jirani yangu wanapaswa wamfanye boss wa TISS kabisa, maana leo ni siku ya nne amelewa
 
Back
Top Bottom