Eti hili gari ni dola za kimarekani laki saba

Hilo gari sio la watu 2 tu huko nyuma huwa linaweza kukunjuka kukapatikana nafasi nyingine ya watu 3 na boot. Liko very automatic.Pia lina features nyingi tu ambazo magar mengi hayana.
 
Kuna wakati huwa napita Knightsbridge na kuona super rich kids of Middle East wanavyoringisha magari ya kifahari

Yaani utajua kweli watu wapo tofauti
Mwingine kubadilisha oil kwa $21,000 kwenye Bugatti ni kama mwingine mwenye bajaj

Yaani wazungu akizeeka ndio anaendesha sports car kwa sababu kabaki peke yake na ana enjoy pension, lakini vijana hao wanaanza opposite kabisa View attachment 937757

Tena hao wanawapa taabu sana wale jamaa wa Parking kwani hayo magari huja na ndege na nwisho wa matanuzi hurudi na hayo magari yao kwao Saudia.

Yaani wamechoka kutoa tickets kwani namba za usajili si za UK.

Kuna sehemu ingine ya matanuzi kule Hide Park utayaona mengi tu na hata polisi hupiga nayo picha.

:):)
 
Ila pia ikumbukwe kuna binadamu wengingine wengi zaidi ya asilimia 90 mlo wa uhakika kuupata ngumu. Hawa 1% percent hawajaligi kabisa. Kuna maduka uswis na Paris soksi tu euro 400. Saa ya mkononi euro elfu 30. Na bado masenge yananunu
Mkuu acha kuendeshwa na mihemuko.
 
Ila pia ikumbukwe kuna binadamu wengingine wengi zaidi ya asilimia 90 mlo wa uhakika kuupata ngumu. Hawa 1% percent hawajaligi kabisa. Kuna maduka uswis na Paris soksi tu euro 400. Saa ya mkononi euro elfu 30. Na bado masenge yananunu
Sasa mkuu unampangia mtu matumizi ya hela yake. Ni hao hao 1% ndio bado wanatusaidia. Sasa mtu aache kufurahia maisha eti abaki tu kusaidia watu tena wenye rasilimali za kutosha kabisa. Hata wewe na mimi na wengine wenye kipato bado hatuwasaidii wenzetu wenye mahitaji na tunapishana nao tu tunakwenda viti virefu na totoz.
 
Ronaldo juzi kati kaingia mgahawani na demu wake akatumia millioni 79 za kibongo kwa muda wa nusu saa

Tena aliagiza mvinyo wenye thamani ya millioni 24.akanywa glass moja tu! Akauacha

Yaani hawa watu wana hela nyingi mpaka wameamua kufanya kufuru maana zinawakera mpaka basi!
Mh siamini
 
Tena hao wanawapa taabu sana wale jamaa wa Parking kwani hayo magari huja na ndege na nwisho wa matanuzi hurudi na hayo magari yao kwao Saudia.

Yaani wamechoka kutoa tickets kwani namba za usajili si za UK.

Kuna sehemu ingine ya matanuzi kule Hide Park utayaona mengi tu na hata polisi hupiga nayo picha.

:):)
wenyewe wanaitaga Ramadhan rush,yaani baada ya ramadhan wanaingiza matoy yao London kuja kusumbua,ni vuuuuuuummm vuum.
 
Ronaldo juzi kati kaingia mgahawani na demu wake akatumia millioni 79 za kibongo kwa muda wa nusu saa

Tena aliagiza mvinyo wenye thamani ya millioni 24.akanywa glass moja tu! Akauacha

Yaani hawa watu wana hela nyingi mpaka wameamua kufanya kufuru maana zinawakera mpaka basi!
Watu wanajua kutumia madolali bhana
 
Back
Top Bottom