Ni kwanini Tanzania imekuwa ikitumia zaidi ya dola za kimarekani laki mbili na nusu kila mwaka?

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Tanzania imekuwa ikitumia zaidi ya dola za kimarekani laki mbili na nusu kila mwaka, kwa ajili ya kuilipa nchi ya jirani ya Kenya ili kutumia mfumo wake wa utambuzi wa bidhaa wa barcodes, hali ambayo imeinufaisha sana nchi hiyo na kuifanya ionekane kwenye soko la kimataifa kuwa imeuza bidhaa nyingi zaidi.
1625689_496056213838691_1161873693_n.jpg

Chanzo:ITV
https://www.facebook.com/photo.php?...01687051.60768.195736147204034&type=1&theater

Swali,Je hatuwezi kuwa na mfumo wetu wa utambuzi wa bidhaa wa barcodes?
 
Hebu tuelimishe kidogo kwanza hiyo kitu halafu na wengine wanafanyaje.
 
Back
Top Bottom