Eti hili gari ni dola za kimarekani laki saba

Ronaldo juzi kati kaingia mgahawani na demu wake akatumia millioni 79 za kibongo kwa muda wa nusu saa

Tena aliagiza mvinyo wenye thamani ya millioni 24.akanywa glass moja tu! Akauacha

Yaani hawa watu wana hela nyingi mpaka wameamua kufanya kufuru maana zinawakera mpaka basi!
 
Wazeee hiyo ni ndinga ya shows off, siyo gari ya matumizi (siyo ya kusafirishia familia wala mizigo ya familia) kama unamtoko na upo na mtoto mkali pembeni inakuwa poa sana
Pia,wanaomiliki magari kama hayo ni mastaa wa mambele kama akina the late Paul Walker,Dan Trejo,Anold Shwaznigger,The Rock,Luda Chris,CR7 na wengineo...wanamiliki ndinga za bei kutokana na biashara zao pamoja na matangazo
Vilevile hayo magari huwa hawadumu nayo kwa muda mrefu kwa kuwa huwa wanawauzia watu wengine ambao wanatafuta umaarufu (kumbuka kuna watu wananunua mpaka chupi za mastaa kwa mamilioni ili wapate attention kwenye midia,siyo kwamba hawana chupi za kuvaa au hawawezi nunua chupi za bei ndogo....maisha hatuwezi kufanana)
 
Shows off×
Show off√
 
Ronaldo juzi kati kaingia mgahawani na demu wake akatumia millioni 79 za kibongo kwa muda wa nusu saa

Tena aliagiza mvinyo wenye thamani ya millioni 24.akanywa glass moja tu! Akauacha

Yaani hawa watu wana hela nyingi mpaka wameamua kufanya kufuru maana zinawakera mpaka basi!
Unashangaa hilo kuna kipindi John Terry aliwahi kumpa barmaid Milioni 20 za kibongo (kipu chenchi)
 
Mzuqa,

Yani binadamu hapana.

Porshe Carrera GT bei yake ni dola laki saba za kimarekani baada ya kodi kabla ya kodi 500k$ karibia billion 2 madaf. Na kuna masenge yamenunua haya magari. Unajiuliza why? mbona watu wamekosa utu na hofu ya Mungu kuchezea pesa namna hii.
View attachment 937735

Kwanza gari lenyewe linasura mbaya. Viti ni vya wawili tu. Halafu halina hata buti sijui ukienda shopping utaweka wapi vitu. Wazungu wamekuwa watu wa hovyo sana.
View attachment 937736View attachment 937737

Hata kama ni class na kusifiwa huu ni upuzi. Hata renji na v8 haifikii huko.

Yani kagari kadogo kabaya kanazidi hadi thamani ya nyumba? Eti kwa kuwa kametengenezwa na material za thamani. Fikiria nyumba ya million mia tu ilivyo na thamani msingi nondo na takataka zote.

narumuk
Siyo matumizi mabaya ya ela wala kukosa hofu ya Mungu.
The more you get money the more classy and selective you become.
Hivi hujawahi kufikiria kwamba kummiliki iphone 7 kuna mtu anakuona unaharibu pesa wakati kuna tecno ingeweza kufanya yale yale kwa 80,000.
Au kumiliki smart tv ya samsung kali ya milion mbili kuna ambaye anaona unapoteza ela maana ungenunua tv ya chogo kwa 120,000.
Kila mtu hufanya hisirafu kwa uwezo wake kile ufanyacho kwa kuona ni kidogo yupo anayeona ni kikubwa kwake
 
Kuna wakati huwa napita Knightsbridge na kuona super rich kids of Middle East wanavyoringisha magari ya kifahari

Yaani utajua kweli watu wapo tofauti
Mwingine kubadilisha oil kwa $21,000 kwenye Bugatti ni kama mwingine mwenye bajaj

Yaani wazungu akizeeka ndio anaendesha sports car kwa sababu kabaki peke yake na ana enjoy pension, lakini vijana hao wanaanza opposite kabisa
20181117_143115.jpeg
 
Mzuqa,

Yani binadamu hapana.

Porshe Carrera GT bei yake ni dola laki saba za kimarekani baada ya kodi kabla ya kodi 500k$ karibia billion 2 madaf. Na kuna masenge yamenunua haya magari. Unajiuliza why? mbona watu wamekosa utu na hofu ya Mungu kuchezea pesa namna hii.
View attachment 937735

Kwanza gari lenyewe linasura mbaya. Viti ni vya wawili tu. Halafu halina hata buti sijui ukienda shopping utaweka wapi vitu. Wazungu wamekuwa watu wa hovyo sana.
View attachment 937736View attachment 937737

Hata kama ni class na kusifiwa huu ni upuzi. Hata renji na v8 haifikii huko.

Yani kagari kadogo kabaya kanazidi hadi thamani ya nyumba? Eti kwa kuwa kametengenezwa na material za thamani. Fikiria nyumba ya million mia tu ilivyo na thamani msingi nondo na takataka zote.

narumuk
Si afadhali hata nikanunue baiskeli kama ya Komred Kipepe au mtungi kama wa Lodi Lofa!!
 
Sio gari ya mizigo hiyo mkuu gari inauwezo wa kutengenezewa dhamani kama vitu vingine vyenye thamani kama madini mafuta na madawa ya kulevya,, Sasa unalikuta Jitu lina mkwanja mrefu kwa nini aishi kama kafa,,atumie vizuri akifa potelea mbali
 
Mzuqa,

Yani binadamu hapana.

Porshe Carrera GT bei yake ni dola laki saba za kimarekani baada ya kodi kabla ya kodi 500k$ karibia billion 2 madaf. Na kuna masenge yamenunua haya magari. Unajiuliza why? mbona watu wamekosa utu na hofu ya Mungu kuchezea pesa namna hii.
View attachment 937735

Kwanza gari lenyewe linasura mbaya. Viti ni vya wawili tu. Halafu halina hata buti sijui ukienda shopping utaweka wapi vitu. Wazungu wamekuwa watu wa hovyo sana.
View attachment 937736View attachment 937737

Hata kama ni class na kusifiwa huu ni upuzi. Hata renji na v8 haifikii huko.

Yani kagari kadogo kabaya kanazidi hadi thamani ya nyumba? Eti kwa kuwa kametengenezwa na material za thamani. Fikiria nyumba ya million mia tu ilivyo na thamani msingi nondo na takataka zote.

narumuk
Mkuu kama hilo gari halina sifa hizi basi kila aliyelinunua ni fala hasa.

1.Haliungui moto hata kama likimwagiwa petrol na kuwashwa
2.Haliwezi kupata pancha
3.Huhitaji service yoyote kwenye injini kwa zaidi ya miaka 50 zaidi ya kuweka mafuta,oil na maji kwenye Carburetor.
4.Haliwezi kupinduka hata likimbie speed kiasi gani.
5.Zaidi ya chuma cha pua hata likigongwa na treni haliwezi hata kubonyea.
6.Siku zote libakie jipya hata baada ya miaka 30 kama vile limetoka kiwandani Leo.
Kama hilo gari lina sifa tajwa hapo basi sh Bil 2 ni halali kabisa,na kama hakuna hizo sifa,wote walionunua hamnazo kabisa,wana akili ndogo Kama CCM.
 
Back
Top Bottom