Kwa hali hii?Nyumbani kwangu nitaajiri house boy.
Period![]()
Aiseee hubby akichombeza hadi huyo mama utabidi nifungashe virago tu.
Oh,haya mambo bwana?Mpwaa
Jamaa naye hatakubali kwani atahisi huyo kaka wa nyumbani atakuwa anafanya kazi mbili.....
Hapo ni bora mlete robot ili mpate suluhisho la kudumu......

Mmh nina muda sijakutia machoni hapa barazaniPeach!
Kuanga makiniHuyo hata apike Msosi mbovu kiasi gani ntamsifia tu,maana alivyo hata radha yote ya Msosi iko kwake
Mkuu we mwenyewe si umeona?Kuanga makini