Eti, Hemed PHD kuna mtu ana details za life lake?

acheni kumsingizia mauongo...kama kuhashukwa Hemedi kaanza aliporudu Tusker ila hakuwa na mambo ya ajabu ajabu kwa tunaomjua,mibaba mizima mimbea!
Umemaliza!need I say more?wanajua kumsema STAR vibaya ndo wataonekana wajanja!!!dawa ya bishoo ni kuwa bishoo zaidi yake!and dat z wat P.H.D does!muonekano wa kitozi,roho ya kigangster!
 
ni kawaida mtu akiwa handsome na anajipenda wanamuita gay,ila wimbo wake mpya unabore.......


Umeongea ukweli!!!kuhusu nyimbo namsemea kidogo!before hii ngoma alitoa ile video ya usiniache bila audio kupelekea radio stations bt ni miongoni mwa nyimbo kali za RnB zilizo katika kugombea Kili Music Awards!!!tumsupport kijana leo atakuwa Bills na mkali mwingine wa kino TID!happy valentine!!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyu mtu anajielewa? Huwezi ukawa msanii mwenye akili upanie kum-kiss Angelina Jolie ukipata hela, mara ukivaa kiatu mara moja hurudii, una madem 65.

Huyu dogo anahitaji ushauri

hemedi ana.mambo ya.kike.kike sana
 
Yaani Hemedy angekuwa na mafanikio walau aliyonayo Diamond mbona angetusumbua sana hapa mjini.Bahati nzuri mambo yanabuma,kila akitoa wimbo hauhit,kwenye muvi anafanya vizuri but badlucky kule hamna hela
 
Hivi huyu mtu anajielewa? Huwezi ukawa msanii mwenye akili upanie kum-kiss Angelina Jolie ukipata hela, mara ukivaa kiatu mara moja hurudii, una madem 65.

Huyu dogo anahitaji ushauri

Yuko wapi siku hizi huyu wakuu? maana ata mimi nina miaka sijamsikia pamoja na kujitutumua kwake.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom