Eti hapa ni Mlima wa Kitonga

Eti hapa ni Mlima wa Kitonga

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
527024_435552726495669_1399361154_n.jpg
 
Ma-engineer tumefanya kazi kweli ya kutoboa huo mlima ku-avoid breakthrough error!
 
sijaelewa mwenzenu yani kuna barabara nne kitonga sasa hivi?
 
HAIWEZI KUWA BONGO KWA WATU dhaifu w kila kitu
 
Kwa bongo hivi!!?Sahau, utamskia baba nanihii akisema mradi kama huu HAUTEKELEZEKI!
 
Hao ndio wazungu bwana, wameweza kwenda kusikoendeka mwezi na sasa wana mahesabu ya kutua kwenye mars sembuse hizo tunnels.
 
ndiyo! alafu kwa juu wameionganisha na mabwepande kutoka dsm! wameona bora walibebe lile pori kulipeleka kitonga, kuliko kuliacha pale watu wanauana sana
 
siku mkiipiga chini dhalimu ccm aka mabwepande mtapata maendeleo hayo!
 
Ndiyo hiyo kitonga.Bee karibu kukaya.
Tunnel no 1.inaenda mor to dar.no2 inaenda dom.no3 inaenda mbeya.no 4 inaenda iringa.karibuni kuboma iringa.
 
Hapa itakua ni Kitong-China, sio KitonGA Tanzania
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom