hivi wewe ndo unajua kiswahili? Wingi wa 'nyimbo' ni nini?hii nyimbo itachangia mno kuharibu kiswahili.....
sio kiswahili fasaha kusema hakunaga.....
Inakera sana watu wanaojidai na kujiita waswahili wanaposhindwa kuandika kiswahili na wanachafuwa mazingira wanapoongea"ga". Sijui hizi "ga" "ga" zimetokea"ga" wapi?
wewe sikia hiyo inaitwa poetic licences ambayo msanii anaruhusiwa kutofata grammatical rules za lugha, so nxt tyme jipange kabla hujakosoa.
hivi wewe ndo unajua kiswahili? Wingi wa 'nyimbo' ni nini?
dah dushelele...