Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,633
- 20,590
KKO ya dasilamu au katoro?
Itakuwa kariakoo ya wilaya ya malinyi maeneo ya sofiKKO ya dasilamu au katoro?
Sawa mkuu!Itakuwa kariakoo ya wilaya ya malinyi maeneo ya sofi
Hahahahahaaaaaa watu ndio zinawaweka mjini mkuu!Sasa hiyo ni frame au choo?
Choo Cha hivi si utakufa Kwa hofu,hilo ni kabuliSasa hiyo ni frame au choo?
Ha ha ha unaweza kuta jamaa na hio fremu ana mauzo zaidi ya mshahara wako wa mwezi kwa siku!Sasa hiyo ni frame au choo?
Laki 5...
Duhhhhh!!Laki 5...
Jamaa kwenye video anadai eti hiyo ni laki nne!!Congo, Aggrey hata laki tatu inafika.