Best home tutor
Member
- May 8, 2026
- 93
- 113
Salama?
Naomba wataalamu mnijuze hivi kweli Tanzania tuna economic plan?
Roboti Yunesi aliyetengenezwa na kupelekwa bungeni siku ya kuwasilisha bajeti ya sayansi na teknolojia kipindi cha mh Nape uko wapi? Alitumia sh ngapi? Zilitoka wapi?nini mwendelezo wa hiyo project?
Drogba na mwezie amekuja juzi nani Anantharamia safari zao na je pesa hizi zilikua planned kwenye bajeti ya wizara au ndio za matumizi mengine?
Vijana wetu under 17 wamefanya vizuri je hiyo 500m ilikua planned kama pesa ya hamasa au imetoka kufuatia vibe baada ya kuingia final?
Tunayo short term na long term plan?
Sasa inatakiwa kila waziri apewe action plan yenye goals and time frame na awe judged na time frame.
Mfano.
Waziri wa ardhi
January mpk December 2027
Punguza migogoro ya ardhi 80%
Ratibu matumizi bora ya ardhi
Kiongozi apewe goals na time frame na adaiwe matokeo kwenye plan za government hii nchi ina pesa sana Sema inaonekana ziko na misallocation na mismanagement.