Eti First Lady amejifungua hivi karibuni?

kitaifa wapi, mwisho mtataka kujua hata ya nyuma ya mlango aka pazia yaani yanayoendelea baada ya sebule

Wewe si muelewa hata kidogo,hao tunaojifunza toka kwao, kina tony blair first lady akiingia labor tu basi mapaparazi woie huhamia na kusubiri uzao mpya wa ikulu.acha ushamba muwe mnaangalia hata media za nchi zingine..
Acha siasa za mihuri ya siri
 
umemsahau yule wa Iringa, binti Asas.
Eeh? Kumbe kuna na Rahma Kharoos...

kuna scandal itakuja siku si nyingi itamuhusu huyo mke wa mkazi wa msoga..tena itasababishwa na wale vijana wake wawili aliozaa na huyo mkwele..mtaiskia..

 
Sidhani........majuzi tulikuwa nae Mwanza na yuko kawaida kabisa

02_12_eafmzz.jpg
 
HII kali nafikiri kama ni kweli atakuwa mtoto wa kwanza kuzaliwa ikulu hapa TZ
 
Nilishtuka sana, maana paka wangu nyumbani, anaitwa First Lady nae amejifunguwa hivi karibuni.
 
wabongo noma,km kwel kajifungua itakuwa amejifungulia india cz ndo hospital zao cc twafa na mgomo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom