PrincessAnne
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 1,875
- 2,228
Hongera kwa kuwa mmoja wa viongozi wenu alimpigia debe. Mbona mnakuwa hamna msimamo, mnarukia tu mambo! Lini Chama Tawala kikajihusisha na vyama vya upinzani?...
Sasa CCM mnavyolalamikia matokeo mlitaka rafiki yenu ashinde kwa kura za wizi? TOA USHAHIDI
..
Hongera Uhuru, hongera IEBC na hongera wakenya wote.
Always Chadema inafuata haki na ukweli popote ulipo uwe Kenya au ulaya.chadema mmekosa pa kutokea hadi mnataka kutumia uchaguzi wa kenya kujiimarisha kisiasa!
hii nayo kali!Seif kadhulumiwa miaka mingi huku CCM wakishangilia na kupongezana, unalijua hilo.
Ndio hata mimi nashangaa CCM kumlilia Odinga kuna nini nyuma ya pazia.Hongera kwa kuwa mmoja wa viongozi wenu alimpigia debe. Mbona mnakuwa hamna msimamo, mnarukia tu mambo! Lini Chama Tawala kikajihusisha na vyama vya upinzani?
Toa ushahidi wa hilo. Tumewazoea wapinzani kwa kudakia mambo, uzushi na umbea. Wamefikia hatua hata aibu hawana kabisa, maana wanakula matapishi yao mchana kweupe, tena hadharani, du!! Hakika upinzani TZ una safari ndefu kuingia Ikulu.Ndio hata mimi nashangaa CCM kumlilia Odinga kuna nini nyuma ya pazia.
Mbona nyie hamtoi ushahidi Odinga kaibiwaje kura.Toa ushahidi wa hilo. Tumewazoea wapinzani kwa kudakia mambo, uzushi na umbea. Wamefikia hatua hata aibu hawana kabisa, maana wanakula matapishi yao mchana kweupe, tena hadharani, du!! Hakika upinzani TZ una safari ndefu kuingia Ikulu.
Nani kasema Odinga kaibiwa kura! Mzushi katika ubora wake. HongeraMbona nyie hamtoi ushahidi Odinga kaibiwaje kura.
Kwani ziko ngapi?CCM ipi iliyoumia!?
Mungu anajua kuwalinda waja wake tuombe Mungu.Uchaguzi ujao watakufa watu wengi na wengine wataishia jela ,,,kwa namna inavyoonekana na huyu bwana mkubwa hawapendi opposition, ,,,tuombe Mungu
mkitenda haki hakuna wa kwenda the Hague .usihindi wenu huwa siyo halali hata tume ni yenu.huwezi kujiuliza tume nzima ni wateule wa mgombea,unategemea nini?tena hata maeneo ambayo wapinzani wanapata wabunge huwa ni kwa bahati tu.tume inaweza kutangaza wameshindwa chini ya ulinzi wa polisi,sijui huwa wanaamua tu ilikuonakane kunademocrasia?Tusubiri 2020 tuwasikie mkitaka kukimbilia the Hague!
No, ni kweli Kenyatta team wameiba kura mkuu.Maswali ya kujiuliza ya msingi ni manne.Kenya kupitia tume yao ya uchaguzi IEBC wameionyesha dunia kumbe Waafrika tunaweza kuendesha uchaguzi wetu ulio huru wa haki na uwazi (transparent election) bila kuingiliwa na mataifa ya nje.
CCM na tume yetu ya uchaguzi NEC wana mengi ya kujifunza kutoka Kenya, waache kulialia kuwa Odinga ameibiwa kura, kwa vile hadi sasa hakuna aliye na ushahidi wa wizi huo.
Nani asiyejua CCM ni mabigwa wa wizi wa kura wamejaribu kupeleka mbinu hizo Kenya wamegonga mwamba ndipo wanalalamika.
CCM wanatoa wapi upendo kwa mgombea wa upinzani Raila Odinga, mbona 2015 wakati Lowassa akidai kura zimedukuliwa hamkujitokeza kama mnavyojitokeza leo kuitaka NEC itumie fomu kutoka vituoni kujumlisha kura, mbona hamkufanya hivyo kwa Maalimu Seifu aliyedai kashinda na matokeo yake kufutwa. Acheni unafiki.
Odinga kwa mwamvuli wa NASA alipewa kila alichoomba,
Aliomba tume huru akapewa IEBC,
Aliomba mikutano huru hakubughudhiwa na polisi yeyote,
Alimkosoa rais Uhuru kwa kadri alivyopenda hakukamatwa na mtu.
Aliomba wafungwa waruhusiwe kupiga kura akapewa.
Aliomba wakenya waishio nje wapige kura akapewa.
Aliomba kura zihesabiwe upya kwa kutumia fomu 34A 34B IEBC wakarudia.
Sasa CCM mnavyolalamikia matokeo mlitaka rafiki yenu ashinde kwa kura za wizi?
Kenya wameendesha uchaguzi wao kwa uhuru na haki na kwa uwazi wa hali ya juu tofauti na sisi ambapo matokeo huwa siri hadi siku ya mwisho.
Leo vyama vya upinzani vimezuiwa kufanya mikutano ya kisiasa wakati CCM ikiendelea na mikutano kama kawaida, sipati picha itakuwaje wakati wa uchaguzi.
Hongera Uhuru, hongera IEBC na hongera wakenya wote.
Kwani tume huru ndo imesababisha Chriss Msando auwawe Kenya ili chama tawala kishinde?Kwa nini Useme CDM utashindwa 2020 kama si hila ?! CCM yenye kujiamini haipaswi kupinga uwepo wa tume huru.
Cairo's
NASA ndio walilalamika system kuwa tempered wakaomba tume itumie fomu 34A still figure hazikubadilika.No, ni kweli Kenyatta team wameiba kura mkuu.Maswali ya kujiuliza ya msingi ni mawili.
1.Kwa nini system haikufanya kazi kwa kufuata maagizo ya Electoral Commission i.e kura kuhesabiwa vituoni ?
2.Kwa nini kwenye Odinga strongholds vituo vilichelewa kufunguliwa?
3.Kwa Electoral Commission kukiri kwamba system ilikuwa hacked lakini data hazikuwa tampered with,hu si ushahidi tosha kwamba kulikuwa na shida?How do we sure that data was not tampered with,kwa assurance tu ya Electoral Commission? It is a flat no.
Jamani tuweke itikadi zetu za kisiasa pembeni,maana naona CCM wako upande wa Odinga na CDM upande wa Uhuru.Ukweli ni kwamba Odinga amenyang'anywa ushindi.
Matokeo hayakubadilika kwa kuwa Electoral Commission inasema data ziko salama hazikubadilishwa.Tunajuaje ziko salama na hazikuhesabiwa vituoni?Chaguzi zetu za kiafrika hovyo sana.NASA ndio walilalamika system kuwa tempered wakaomba tume itumie fomu 34A still figure hazikubadilika.
Hata kama Kenya wana madhaifu yao lakini bado wako mbele ya Tz ktk uwazi wa uchaguzi.Kwani tume huru ndo imesababisha Chriss Msando auwawe Kenya ili chama tawala kishinde?