Mkendo
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,142
- 2,241
Bonafsi siwezi kufuatikia uchaguzi wa nchi kama kenya !! Hakuna cha kujifunza Ktk nchi ambayo ukabila umetawala ....wao ndio wajifunze kupitia Tz .....Amkeni wa TzKwani nyie mnaolia jaruo kaibiwa kura mnapata nini.
mkuu umeuliza source? u r perfect definition ya nyumbuYan CCM inalalamika upinzani kuibiwa kura kenya?Yan mwizi wa kura za wapinzani afu analalamika kuwa upinzani unaibiwa kura kenya.Haya majizi yamenishinda tabia aseee
Wajifunze nini, kuiba kura? Kupindua matokeo, kufuta uchaguzi, kuzuia mikutano, kufunga wabunge au nini wajifunze?Bonafsi siwezi kufuatikia uchaguzi wa nchi kama kenya !! Hakuna cha kujifunza Ktk nchi ambayo ukabila umetawala ....wao ndio wajifunze kupitia Tz .....Amkeni wa Tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Gob bless KenyaKenya kupitia tume yao ya uchaguzi IEBC wameionyesha dunia kumbe Waafrika tunaweza kuendesha uchaguzi wetu ulio huru wa haki na uwazi (transparent election) bila kuingiliwa na mataifa ya nje.
CCM na tume yetu ya uchaguzi NEC wana mengi ya kujifunza kutoka Kenya, waache kulialia kuwa Odinga ameibiwa kura, kwa vile hadi sasa hakuna aliye na ushahidi wa wizi huo.
Nani asiyejua CCM ni mabigwa wa wizi wa kura wamejaribu kupeleka mbinu hizo Kenya wamegonga mwamba ndipo wanalalamika.
CCM wanatoa wapi upendo kwa mgombea wa upinzani Raila Odinga, mbona 2015 wakati Lowassa akidai kura zimedukuliwa hamkujitokeza kama mnavyojitokeza leo kuitaka NEC itumie fomu kutoka vituoni kujumlisha kura, mbona hamkufanya hivyo kwa Maalimu Seifu aliyedai kashinda na matokeo yake kufutwa. Acheni unafiki.
Odinga kwa mwamvuli wa NASA alipewa kila alichoomba,
Aliomba tume huru akapewa IEBC,
Aliomba mikutano huru hakubughudhiwa na polisi yeyote,
Alimkosoa rais Uhuru kwa kadri alivyopenda hakukamatwa na mtu.
Aliomba wafungwa waruhusiwe kupiga kura akapewa.
Aliomba wakenya waishio nje wapige kura akapewa.
Aliomba kura zihesabiwe upya kwa kutumia fomu 34A 34B IEBC wakarudia.
Sasa CCM mnavyolalamikia matokeo mlitaka rafiki yenu ashinde kwa kura za wizi?
Kenya wameendesha uchaguzi wao kwa uhuru na haki na kwa uwazi wa hali ya juu tofauti na sisi ambapo matokeo huwa siri hadi siku ya mwisho.
Leo vyama vya upinzani vimezuiwa kufanya mikutano ya kisiasa wakati CCM ikiendelea na mikutano kama kawaida, sipati picha itakuwaje wakati wa uchaguzi.
Hongera Uhuru, hongera IEBC na hongera wakenya wote.
No, ni kweli Kenyatta team wameiba kura mkuu.Maswali ya kujiuliza ya msingi ni manne.
1.Kwa nini system haikufanya kazi kwa kufuata maagizo ya Electoral Commission i.e kura kuhesabiwa vituoni ?
2.Kwa nini kwenye Odinga strongholds, vituo vilichelewa kufunguliwa?
3.Kwa Electoral Commission kukiri kwamba system ilikuwa hacked lakini data hazikuwa tampered with,huu si ushahidi tosha kwamba kulikuwa na shida?How are we sure that data was not tampered with,kwa assurance tu ya Electoral Commission? It is a flat no.
4.Kwa nini Chris's Msando aliuwawa?Was it a means of making sure that Uhuru wins?Did he hold the key to Uhuru's defeat?
Jamani tuweke itikadi zetu za kisiasa pembeni,maana naona CCM wako upande wa Odinga na CDM upande wa Uhuru.Ukweli ni kwamba Odinga amenyang'anywa ushindi.Points nilizozitaja hapo juu points towards this fact.
Eti mi naona ni pointless!No, ni kweli Kenyatta team wameiba kura mkuu.Maswali ya kujiuliza ya msingi ni manne.
1.Kwa nini system haikufanya kazi kwa kufuata maagizo ya Electoral Commission i.e kura kuhesabiwa vituoni ?
2.Kwa nini kwenye Odinga strongholds, vituo vilichelewa kufunguliwa?
3.Kwa Electoral Commission kukiri kwamba system ilikuwa hacked lakini data hazikuwa tampered with,huu si ushahidi tosha kwamba kulikuwa na shida?How are we sure that data was not tampered with,kwa assurance tu ya Electoral Commission? It is a flat no.
4.Kwa nini Chris's Msando aliuwawa?Was it a means of making sure that Uhuru wins?Did he hold the key to Uhuru's defeat?
Jamani tuweke itikadi zetu za kisiasa pembeni,maana naona CCM wako upande wa Odinga na CDM upande wa Uhuru.Ukweli ni kwamba Odinga amenyang'anywa ushindi.Points nilizozitaja hapo juu points towards this fact.
Madame wewe ni camp ya Uhuru,no wonder.Ila common sense tells it all,foul has been played!Eti mi naona ni pointless!
Wao ukabila sisi uchama,tofauti ni nini?Bonafsi siwezi kufuatikia uchaguzi wa nchi kama kenya !! Hakuna cha kujifunza Ktk nchi ambayo ukabila umetawala ....wao ndio wajifunze kupitia Tz .....Amkeni wa Tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwizi kazidiwa maarifa na nguvu ya haki!Yan CCM inalalamika upinzani kuibiwa kura kenya?Yan mwizi wa kura za wapinzani afu analalamika kuwa upinzani unaibiwa kura kenya.Haya majizi yamenishinda tabia aseee
Kenya kupitia tume yao ya uchaguzi IEBC wameionyesha dunia kumbe Waafrika tunaweza kuendesha uchaguzi wetu ulio huru wa haki na uwazi (transparent election) bila kuingiliwa na mataifa ya nje.
CCM na tume yetu ya uchaguzi NEC wana mengi ya kujifunza kutoka Kenya, waache kulialia kuwa Odinga ameibiwa kura, kwa vile hadi sasa hakuna aliye na ushahidi wa wizi huo.
Nani asiyejua CCM ni mabigwa wa wizi wa kura wamejaribu kupeleka mbinu hizo Kenya wamegonga mwamba ndipo wanalalamika.
CCM wanatoa wapi upendo kwa mgombea wa upinzani Raila Odinga, mbona 2015 wakati Lowassa akidai kura zimedukuliwa hamkujitokeza kama mnavyojitokeza leo kuitaka NEC itumie fomu kutoka vituoni kujumlisha kura, mbona hamkufanya hivyo kwa Maalimu Seifu aliyedai kashinda na matokeo yake kufutwa. Acheni unafiki.
Odinga kwa mwamvuli wa NASA alipewa kila alichoomba,
Aliomba tume huru akapewa IEBC,
Aliomba mikutano huru hakubughudhiwa na polisi yeyote,
Alimkosoa rais Uhuru kwa kadri alivyopenda hakukamatwa na mtu.
Aliomba wafungwa waruhusiwe kupiga kura akapewa.
Aliomba wakenya waishio nje wapige kura akapewa.
Aliomba kura zihesabiwe upya kwa kutumia fomu 34A 34B IEBC wakarudia.
Sasa CCM mnavyolalamikia matokeo mlitaka rafiki yenu ashinde kwa kura za wizi?
Kenya wameendesha uchaguzi wao kwa uhuru na haki na kwa uwazi wa hali ya juu tofauti na sisi ambapo matokeo huwa siri hadi siku ya mwisho.
Leo vyama vya upinzani vimezuiwa kufanya mikutano ya kisiasa wakati CCM ikiendelea na mikutano kama kawaida, sipati picha itakuwaje wakati wa uchaguzi.
Hongera Uhuru, hongera IEBC na hongera wakenya wote.
Siku zote mwizi apendi kuibiwa hao wezi wameumia
Wewe unaweza kusema hutaki kujua ya wengine lakini kuna watu wanataka kujua ya wengine.Ata kama kaibiwa huo uchaguzi wa Tz unatuhusu nn ? Mi nazani ni ulimbukeni kutaka kujua ya watu wakat yetu yanatushinda ...
Sent using Jamii Forums mobile app