Eti CCM 'B' Kumbe wenyewe ni CCM 'A'

Eti CCM 'B' Kumbe wenyewe ni CCM 'A'

Mkuu na wewe unatumia uongo kujenga hoja? Mbona tangu mwanzo wewe umeonesha chuki kwa Slaa na Chadema? Unakumbuka post yako ya 2nd September 2011 11:14 iliyokuwa na harufu ya udini

Na hii ya 26th July 2012 13:51

Lini ulijiunga na Chadema mpaka unatwambia leo unaichana kadi ya CDM?

Imani yako na itikadi yako vinakuruhusu kutumia uongo?

Ukiwa muongo usiwe msahaulifu!
Mimi niko CHADEMA toka wakati wa marehemu B.Makani
Hizo Comment zinatokana na Baadhi ya Comment ambazo zinatulazimisha kujibu
ovyo, hata hivyo kadi nilikuwa nayo na Leo ndo nimeamua kuichana.
 
Kuichana kadi yako sio tatizo tatizo ni impact uliyonayo kwa chama, wewe kuondoka chadema nikama kuondoa ndoo moja

ya maji bahari ya hindi, wakati mto ruaha, wami na mingine inaingiza mamilioni ya lita bahari ya hindi. waonaingia cdm ni maradufu

ya vilaza wachache (insignificant) wachumia tumbo wanaotoka.
Wewe sio mfuatiliaji, watu wanahama kwa wingi huko tena kimyakimya ndio
maana hufahamu. Hakufai ni bora kuhama watu gani wanagawana vyeo kifamilia?
 
Kama wanavyofanya Jusa na maalim huko zanzibar?

Nakama nimuungano wa Vyama viwili yaan CCM na CUF then kunamakosa kusema CCM = chama A na CUF ni chama B

Tupe mkataba au makubaliano ya muungano wa CDM na CCM kama ilivyo kwa CUF na ccm hapo juu?

Kwa sasa kuna CCM na matawi yake ambayo ni A - CHADEMA
B- TLP C-NCCR - D.......... N.K
 
Mkuu simuoni Vijisenti kuendeleza majungu
yake sijuwi kaenda kuanzisha uzi mwingine kama bosi wake Nape?
Nipo mkuu, hakuna bosi wangu katika hao wote
kwa sasa tuna mpango wa kuanzisha chama
ambacho kitakuwa cha upinzani wa kweli na sio
unafiki.
 
Wewe sio mfuatiliaji, watu wanahama kwa wingi huko tena kimyakimya ndio
maana hufahamu. Hakufai ni bora kuhama watu gani wanagawana vyeo kifamilia?

Vijihela

Wanaohama ni wenye sera za kifisadi ambao hawafiti mfumo wa cdm na kudi la pili ni wahamaji feki kama wewe angalia post

zako hapa chini Mtu wa shamba katusaidia amekuvua nguo.

quote_icon.png
By Vijisenti Mabadiliko tunayataka sana lakini si kupitia kwa wanafiki ambao wako Mahususi kwa kugawana vyeo kifamilia huku upande mwingine wakiwa ni wanachama HAI wa CCM - Tumechoka na hapo ndipo pa kuanzia mabadiliko. Mimi leo naichana kadi yangu ya CHADEMA.

Mkuu na wewe unatumia uongo kujenga hoja? Mbona tangu mwanzo wewe umeonesha chuki kwa Slaa na Chadema? Unakumbuka post yako ya 2nd September 2011 11:14 iliyokuwa na harufu ya udini

quote_icon.png
By Vijisenti
2nd September 2011 11:14

Hamko mbali kumuamudu w. slaaa maana mnatumia makalio kutafakari ndio maana mnamuabudu yesu badala ya Mungu.

Na hii ya 26th July 2012 13:51
quote_icon.png
By Vijisenti
Siasa za kwenye Vigango ndizo zinaenda kuimaliza CHADEMA 2015. Udini,udini,udini

Nipo mkuu, hakuna bosi wangu katika hao wote
kwa sasa tuna mpango wa kuanzisha chama
ambacho kitakuwa cha upinzani wa kweli na sio
unafiki.

Mkuu visenti

Kwa mtazamo wa posti zako hapa chini lazima kitakuwa cha kidin wala si kwa faida ya watanzania wote waislamu, wakristo

wanaoamini na wasio amini, hicho kitakuwa na ajenda ya siri wala hakitatufaa, jitafakali mkuu

quote_icon.png
By Vijisenti Mabadiliko tunayataka sana lakini si kupitia kwa wanafiki ambao wako Mahususi kwa kugawana vyeo kifamilia huku upande mwingine wakiwa ni wanachama HAI wa CCM - Tumechoka na hapo ndipo pa kuanzia mabadiliko. Mimi leo naichana kadi yangu ya CHADEMA.

Mkuu na wewe unatumia uongo kujenga hoja? Mbona tangu mwanzo wewe umeonesha chuki kwa Slaa na Chadema? Unakumbuka post yako ya 2nd September 2011 11:14 iliyokuwa na harufu ya udini

quote_icon.png
By Vijisenti
2nd September 2011 11:14

Hamko mbali kumuamudu w. slaaa maana mnatumia makalio kutafakari ndio maana mnamuabudu yesu badala ya Mungu.

Na hii ya 26th July 2012 13:51
quote_icon.png
By Vijisenti
Siasa za kwenye Vigango ndizo zinaenda kuimaliza CHADEMA 2015. Udini,udini,udini

Cdm siku zote wanafki, wazandiki,wafitini na waongo. na kwa bahati mbaya the cry at last!

Ni vizuri kujua hayo, lakini sijaelewa ni jinsi gani hawa wamefikia mpaka wakawa na sifa hizo ulizozitaja. Unaweza kufafanua zaidi? Binafsi naona mambo mengi waliyoyasema yameonekana kuwa ni kweli. Walianza kuongelea ufisadi wa EPA, Richmond, Kigoda, Meremeta, Kiwira na mengine mengi. Unataka kunifanya niamini kuwa hayo yote ni uongo? Naomba unifahamishe Mkuu!
 
Mimi niko CHADEMA toka wakati wa marehemu B.Makani
Hizo Comment zinatokana na Baadhi ya Comment ambazo zinatulazimisha kujibu
ovyo, hata hivyo kadi nilikuwa nayo na Leo ndo nimeamua kuichana.

Hata majibu ya kumwabudu yesu badala ya mungu yanatokana na uwepo wako kidini zaidi, sio ya siasa kwa maana ya

kuwaletea watanzania utawala bora kwa maana ya maendeleo. wewe upo kueneza dini CCM CUF, CDM, NCCR Nk wapi na wapi

mbona unajichanganya mkuu Visenti?
 
Mimi niko CHADEMA toka wakati wa marehemu B.Makani
Hizo Comment zinatokana na Baadhi ya Comment ambazo zinatulazimisha kujibu
ovyo, hata hivyo kadi nilikuwa nayo na Leo ndo nimeamua kuichana.
Nimepitia posts zako zote, wewe ni CUF tangu mwanzo. Na CUF badala ya kuona tatizo ni chama tawala mnadhani CDM ndio tatizo.

Pole mkuu watu wana akili.
 
Usikurupuke mkuu, tafuta hiyo POST utajua kuna mtu aliongea utumbo
nami ndio nikamjibu hivyo, tatizo umechukua jibu bila kuangalia nini kilisababisha
hilo jibu, mara nyingi mimi huwa ninajibu tu sianzishi.
 
Nimepitia posts zako zote, wewe ni CUF tangu mwanzo. Na CUF badala ya kuona tatizo ni chama tawala mnadhani CDM ndio tatizo.

Pole mkuu watu wana akili.
Kwa sasa ndio nimehamia CUF, nimegundua CDM kwa kushirikiana
na waandishi wa habari(Kupitia kwa wamiliki ambao wengi ni CCM)
ndio wamechangia kuiangusha CUF kwa hila.
 
Mimi niko CHADEMA toka wakati wa marehemu B.Makani
Hizo Comment zinatokana na Baadhi ya Comment ambazo zinatulazimisha kujibu
ovyo, hata hivyo kadi nilikuwa nayo na Leo ndo nimeamua kuichana.
Na hii thread uliyoanzisha tarehe 15th July 2012 16:45?
Bado ni chama cha upinzani lakini matatizo iliyosababisha ni ya hatari sana, Hili linajidhihirisha baada ya kuwa chama kikuu cha upinzani. MIgomo isiyo na msingi imeongezeka, mfumuko wa bei umekuwa mkubwa mno, utendeji maofisini umekuwa mbovu (Taarifa za kiinterejensia) kwa sababu yao.

Jamani, angalieni wakati chama kikuu cha upinzani kikiwa CUF, mmewahi kusikia migomo hatari ya madaktari kama hii inayojitokeza leo. Hawa watu ni hatari hata ukiangalia post zao humu jukwaani ni matusi na utumbo tu badala ya kujenga hoja zenye akili, Tumewchoka 2015 hamtupati kwa sera zenu za matusi.

Watanzania tutafakari na tuwaepuke hawa watu!

Ni kipi kinakuruhusu uongo, imani yako au itikadi yako?
 
Kwa sasa ndio nimehamia CUF, nimegundua CDM kwa kushirikiana
na waandishi wa habari(Kupitia kwa wamiliki ambao wengi ni CCM)
ndio wamechangia kuiangusha CUF kwa hila.

Umehamia lini CUF na wewe ndo umetangaza kuchana kadi ya chadema sasa hivi?

Mkuu mtendee mungu na dini yako haki, maana mola wetu hapendezwi na uwongo siku ya kiama utaulizwa mkuu.
 
Mimi niko CHADEMA toka wakati wa marehemu B.Makani. Hizo Comment zinatokana na Baadhi ya Comment ambazo zinatulazimisha kujibu ovyo, hata hivyo kadi nilikuwa nayo na Leo ndo nimeamua kuichana.

Na hii hapa ya tarehe 19th October 2012 10:43
Nafikiri hapo kwenye RED ndio mipango ya CHADEMA ikiingia madarakani.

Na hii hapa ya 7th September 2012 18:02
Hawa ndio CHADEMA na wakipata utawala itakuwa ni zaidi ya haya, hebu waislamu jioneeni wenyewe.

Na hii ya 26th July 2012 13:46
Ingekuwa post hii inaiponda CHADEMA bila shaka ungeona matusi ya nguoni yakiporomoshwa. Bahati CUF ina viongozi na wanachama waungwana musitegemee matusi kutoka kwa wafurukutwa, wakereketwa, mashabiki na wanachama wa CUF ni watu wastarabu sana, hii ni dalili kuwa nchi ikichukuliwa na CUF itaendeshwa kistaarabu, Ole wettu kama CDM watachukua nchi itakuwa ni Full matusi kuanzia maofisini mpaka majukwaani.
 
Madhara ya kufikiria kwa kutumia MASABURI ndo haya!
what is a big deal with kumiliki Card? uwa nasikitika kuona vijana
kama wewe mnatumia akili ndogo za wenzeni (magamba) ambao hawana sera wala hoja!
hiyo kadi inamgusaje mtanzania mwingine, inagusaje uchumi wa nchi?
CDM wametoa hoja nzito magamba yameshindwa kujitetea (ufisadi, uwizi wa hela kupeleka nje, uteuzi majaji feki e.t.c) jengeni hoja hacheni stori za kwenye pilau za kumendea!
hama kweli mfa maji...! jueni wa TZ wa leo siyo wale wa kudanganya na goja zisizomashiko!
hizi ni dalili tosha kuwa CCM imeishiwa hoja na inaongozwa na viongozi wavivu wa kufikiri!
wenye sifa zinazofanana na avarta yako uwa siwashangai: make IQ za wengi wao huwa ni afifu sana mpaka ziwe busted!

Ni watu wa ajabu sana hawa, kila siku walikuwa wanapiga
kelele Bungeni CCM B - kumbe wenyewe ni CCM A, yaani viongozi
wao kadi wanazo na wanazilipia bila kusahau kuwa wanahudhuria
Mikutano ya Chama inayofanyika usiku.

Tumewajua, watanzania musiwaamini hao ni CCM halisi.
 
Usikurupuke mkuu, tafuta hiyo POST utajua kuna mtu aliongea utumbo
nami ndio nikamjibu hivyo, tatizo umechukua jibu bila kuangalia nini kilisababisha
hilo jibu, mara nyingi mimi huwa ninajibu tu sianzishi.

Mkuu siku ya kampeni kama utatumia jina hili na mtu akakuuliza kwamba wewe ni mdini utakataa mkuu kwa hizo post zako????
 
CCM mko madarakani sehemu yetu ya ziwa Malawi inanyemelewa ikichukuliwa na nyie muende huko huko. Wana JF mnanikera kweli kwani sioni tukielimishana kama ilivyokuwa mwanzo. Hatuwezi kuleta mabadiliko hapa nchini kwa malumbano kama uzi huu ulivyo..Khaaa!
 
Back
Top Bottom