Minazani kue na option yakumblock mtu anaepost matango pori maana naona kunawatu wanashindwa kuutumia ipasavyo uhuru wao wakuongea!.. wanakalia kuubiri udini na uchochezi..vitu ambavyo havina tija..minazani wote humu tunaakiri timamu( it's a home for great thinkers) tusitishane na siasa za maji taka... Km hadi Leo na uzee wako haujui chama kinachokidhi au kukalibia kutii demand zako jua ww ni MBULULAA!!.. Dini pake ni nyumba za ibada na siasa kwake ni kwny vyama!.. Usitukanganye (sijui vijicent hata ckumbuki jina lako) I can bet million haukuwai kua chadema!.. WeniCUF period!....