Eti Bongo kuna magari ya kike na ya kiume

πŸ˜€ sounds good kuona mwanaume anapush land lover discovery vogue Audi na land cruiser version yoyote tena manual.
Hivi vi auto auto vingi vya wadadaπŸ˜€πŸ˜€
 
Ni kweli hata mimi ziwez nunua passo ila sio kwa sababu eti inapaswa kuendeshwa na wanawake.

Ni kwasababu sipendi muundo wake.
Ni kweli hata mimi ziwez nunua passo ila sio kwa sababu eti inapaswa kuendeshwa na wanawake.

Ni kwasababu sipendi muundo wake.
Mi IST nikipata hela nitaanza nayo! Siwezi tunisha msuli wakati mambo magumu
 
Subaru ni gari ya kiume, ila ukikuta mwanamke anaendesha inaonekana sexy.....

Mwanaume ukiendesha passo unakaa kirembo jamani
Passo sio gari, ni shopping trolley za kwenye supermarket za Mars!! Ahahahahhahahah[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Wabongo wana imani za ajabu sana, nakumbuka miaka ile bongo fleva inaanza kuchomoza kuna wajinga wakiona unasikiliza wabana pua wanakuambia ni mziki wa kike, wanasema mwanaume anasikiliza hip-hop
Yaani wabongo ni watu wa ajabu sana, na ukiwaendekeza hakuna kitu utafanikiwa. Ndo maana wengi wanafeki maisha ili tu kuridhisha watu na imani zao za kijinga
 
kama ile rav 4 ..wakaipa jina kabisa la miss tz.
 
Yaani wabongo ni watu wa ajabu sana, na ukiwaendekeza hakuna kitu utafanikiwa. Ndo maana wengi wanafeki maisha ili tu kuridhisha watu na imani zao za kijinga
Kabisa ndugu

Unakuta mtu anakazana ila aendane na matarajio ya washkaji zake.

Most of the time unakuta mtu mweusi ana spend sana pesa kununua vitu ila aimpress wenzake na jamii

Wakati hawa ngozi nyeupe ni watu simple sana.
 
Passo pia huwa wanaiita ya kike,Ila kiukweli passo hapana siwezi nunua design yake sijawahi ipenda ...
 
Hapa kwetu Tena zote used(Mitumba)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…