Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,220
- 1,225
Habari zenu wanajamii forums
Kuna binti mmoja hivi ninaye ila yeye tatizo lake anapenda mnapotaka kwenda kufanya manunuzi ya vitu anapendelea sana Supermarket yaani ukitaka ukosane naye muende kwenye masoko ya kawaida kununua bidhaa kama matunda au mbogamboga yeye anataka supermarket anasema eti supermarket ni sehemu safi tofauti na sokoni kuna changanyikeni wengi yaani nataka hata niachane naye.....vile vile nimeona wasichana wengi ukimzoesha kwenda naye supermarket ndio anafurahi eti una care badilikeni nyie wakina dada acheni kuigiza
N.b-Tusijenge chuki kwenye huu uzi ni yale ambayo nayaona na kukutana nayo