Eti anapenda vya Supermarket

Eti anapenda vya Supermarket

Sema wewe maana tukisema sisi tunaambiwa ni watu wa kulialia na zaidi tunaambiwa sisi wanaume wa darislamu.
Duniani.kote kuna masoko na supermarket na watu wote wanatumia bidhaa za maeneo hayo.
Bongo movie imemharibu huyo hajui kama yale ni maigizo tu sio maisha ya kila siku.
Visista duu uchwara hivo utakuta huko super market vimeanza kuingia tayari vishaanza kuvaa bra
Kuna kengine juzi juzi kananiambia hakalagi ugali wakati enzi hizo tunasoma, nishaenda kwao tukagonga ugali dagaa tena dagaa za mchuzi, ule mchuzi wa kuloeka vidole kabisa vidagaa vinaogelea mfyuuu.
Kidem cha hivo ni cha kupunguzia nyege tu usije ukaoa
 
Tatizo ni kwenda nae supermarket au kipato chako hakiruhusu kwenda huko?
Ofcourse maeneo ya supermarket bidha nyingi huwa bei iko juu ukilinganisha na maeneo mengine, na.kuhusu ubora sio garantee coz mchicha wa sokoni umevunwa siku hiyo hiyo tena asbhi wa supermarket una kaa hadi wiki.
Maandazi na vitumbua ni hivi hivi vya mtaani kwetu na mtaani unachukua vya moto. Kama kipato kinaruhusu ni sehemu nzr ya kuosha na macho pia.
 
Your First impression is the last impression..1st date ukijiweka kipredeshee aaaah..lazma akufanyie sinema. Just be you..kawaida yaani. It won't cost you. Japokuwa,kuna wanawake nao wanapenda sana show off za kijinga. ..
Hivi leo ni siku gani, its like am out of my mind, maana leo naona tuko pamoja.
Lait discussion zikiwa hivi kila siku, nadhani magufuli atakuwa na kazi ndogo ya kufanya
 
OK nilitaka kujua hili tu mkuu...nadhani unahitaji Muda kidogo wa kum'badilisha kisaikolojia na atakaa Sawa tu wala Haina haja ya kukurupukia kumuacha kama unavyowaza sasa
Ofcourse maeneo ya supermarket bidha nyingi huwa bei iko juu ukilinganisha na maeneo mengine, na.kuhusu ubora sio garantee coz mchicha wa sokoni umevunwa siku hiyo hiyo tena asbhi wa supermarket una kaa hadi wiki.
Maandazi na vitumbua ni hivi hivi vya mtaani kwetu na mtaani unachukua vya moto. Kama kipato kinaruhusu ni sehemu nzr ya kuosha na macho pia.
 
Visista duu uchwara hivo utakuta huko super market vimeanza kuingia tayari vishaanza kuvaa bra
Kuna kengine juzi juzi kananiambia hakalagi ugali wakati enzi hizo tunasoma, nishaenda kwao tukagonga ugali dagaa tena dagaa za mchuzi, ule mchuzi wa kuloeka vidole kabisa vidagaa vinaogelea mfyuuu.
Kidem cha hivo ni cha kupunguzia nyege tu usije ukaoa[/QUOTE aiseee umeuaaaa
 
Ha ha ha safi sana wadau kwa kuliona hili,tubadilike hata wanaume pia kujidai unakwenda kununua parachichi la 2000 supermarket hata kama hela ipo
 
Visista duu uchwara hivo utakuta huko super market vimeanza kuingia tayari vishaanza kuvaa bra
Kuna kengine juzi juzi kananiambia hakalagi ugali wakati enzi hizo tunasoma, nishaenda kwao tukagonga ugali dagaa tena dagaa za mchuzi, ule mchuzi wa kuloeka vidole kabisa vidagaa vinaogelea mfyuuu.
Kidem cha hivo ni cha kupunguzia nyege tu usije ukaoa

Hahaha yo hv killed it,
 
Jinsia tafadhari..
 
Asubui mwanana
 
Nimekupenda kwa ushauri wako malkia wa nguvu
 
Cha hivo ushaona mapema we igiza pia piga papuchi af e delea mbele....hata evelyn salt anasappti hili maana huo ni upuuzi kujifanya supermarket ndio baab kubwa.....af mie niliyekulia maisha ya kishua hao kwa mfano nina hela za kuchezea ningekuwa nawazibua sana papuchi....ila uhalisia sio maigizo usioe wewe piga tu
 
Kweli unaweza kuwa na mdada mwenzako pembeni mpaka ukajiona wa hali gani sijui! Uwa sipendi kumsema vibaya mdada mwenzangu ila jamani kuna wengine sijui walishushwaaa! Mfano unaweza kukutana na mdada kwenye sehemu ya kutengeneza kucha mpaka ukaskia kinyaaa kwanza anavyoongea kiswanglish kanabandika kucha miguu na mikonoo yotee weaving refu matokoni( yale ya india na BBC) yaan anavyoongea utazani mtoto mdogo kazaliwa jana! Sehemu hizi uwa tunaona mengi na ukija fuatilia elimu yake F.F.F CBE!

Kwa hilo la supermaketi ni ulimbukeni kwan hata michicha siku hizi ipo supermket? Jamani ambao hamuendi changanyikeni mnakosa vingi kwanza vyakula sio gari afu vingiii mpaka unabakiza chengi! Mie supermarketi ninayokwenda ni SH hamon (sp) kwa ajiri ya lotion flan tu! Vininevyo hapana.

Nb, ila wanasema acheni watoto watumie hela iwazoe.
 
Good grief!!!!
 
Soko la mabibo bei zao safi sana, bila kusahau lile la Stereo Temeke.

Kwa sisi tuliyofuta matongotongo super market naona ni kwenda kutozwa VAT bila sababu, hao ndio wapo tayari kula mikuku iliyooza kutoka South pale KFC na kumuacha Ally Makuku na vipande vya buku mbilimbili ambapo unatafuna kuku mtamu mpaka kumoyo na chachandu ya dunia.
 
KFC ya bongo wale sio kuku wale. Ni imitation kuku meat.

Sijawahi kula kuku walio bland namna hiyo.

Halafu hata zile herbs za KFC naona hawatumii zile zenyewe zilizompatia Col. Sanders ujiko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom