Eti ananitishia ushirikina

Hahaha, at your best.

Sampuli za CBE haziwezi kunipiga kibuti mimi.

To them I am the greatest thing since sliced bread.

We're talking about levels here now.....remember that.

 
ha haaaa
 
Sampuli za CBE haziwezi kunipiga kibuti mimi.

To them I am the greatest thing since sliced bread.

We're talking about levels here now.....remember that.
Aiseee nilikuwa naheshimu wakongwe ila kwa mwendo huuu ngoja niende zangu kwa makapuku tyuuu.nilidhani kuishi USA mtu unakuwa na busara kumbe nilikuwa najidanganya.
 
Hv mtu mwenye akili nyingi huwa anakuwaje?.maana watu wa university huwa wanafikili kufika huko ndio akili.mtu unasoma mpaka university kwa kukalilishwa.hebu jiulize kitu kimoja tu.kwa nn ndoa za wasomi weng zina mushkel kuliko za masikin?.yote hayo nikutokana na kuleta usomi kwenye vitu visivyo vya kisomi.uchawi upo na utaendelea kuwepo.na hapo Ndio nimegundua university yako aikusaidii chochote.umebakia kukalilishwa tu nàwaalimu wenu.usiwe mvivu wa kusoma vitabu mbalimbali.pusi wewe na university yako ya kununua
 

Na wewe hizi pumba 'ulikalilishwa' na nani?
 
Kunawatu wamesoma kuliko wewe lakin wananidham ktk elimu zao.kilichokukimbizia jf kutoa taharifa ili nani akusaidie?.waswahili bwana wakipata pesa utawajua wakipata elimu unaweza sema ameifanyia research dunia nzima.wewe elimu yako Ndio imeishia hapo.usijifanye kujua kila kitu.kama ujui sema hujui.acha ujinga wa kukalilishwa
 
na tutakuroga sanaa í ½í¸„í ½í¸„í ½í¸„í ½í¸„
 
Duh nyani hii kama ngonjera au shairi lisilo na vina. Nimependa mtiririko wako wa hadithi. Tengeneza nyingine iwe na stanzas halafu uone kama haitatoka kwenye A level next year. Big up bor.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…