Eti anaipenda harufu yangu.....

Eti anaipenda harufu yangu.....

Una uzoefu? Ulishapata ujauzito mara ngapi? Je ni mara zote ilikutokea hivyo?

Hommie hii kitu ilishawahi kunisumbua sana enzi zileeeee......kabla sijawa joka la kibisa...stuka aseee...
 
Hommie hii kitu ilishawahi kunisumbua sana enzi zileeeee......kabla sijawa joka la kibisa...stuka aseee...
Hivi kabla hujawa la kibisa ulikuwa joka la Muungano au?.......... Na kama ndo ushakuwa joka la kibisa ndo kusema hufanyi tena kazi? Huna workmates siyo?

JF ina mambo! napita tu
Angalia usipotee njia mkuu! Usijikwae.
 
Aseee!!!
Kumbe Mnapenda harufu ya majashooeee!!!
sasa mbona hamtuambii tuache kutumia haya ma-roll on na body spray??

Tunapenda sana, inaaongeza mashtimu.......Mimi hujipandisha kwa kupata hio harufu ya jashoo!!!!(Lakini msiache ma-rollon)
 
Hivi kabla hujawa la kibisa ulikuwa joka la Muungano au?.......... Na kama ndo ushakuwa joka la kibisa ndo kusema hufanyi tena kazi? Huna workmates siyo?....

Enzi za mwalimu....workmates waje hapa?
 
Tunapenda sana, inaaongeza mashtimu.......Mimi hujipandisha kwa kupata hio harufu ya jashoo!!!!(Lakini msiache ma-rollon)
Leo nimejifunza mengi......... hivi na harufu ya soksi za miguuni nazo mnazipenda (siyo za matakon.i bana)

babu,nilitaka kuzimia na kukata kauli! nilidhani mnyampaa ana uzoefu na :mimba:bibi? ngoja kwanza...
Aisee... hebu tema mate chini kabla sijasema SUU! GOD FORBID!
 
babu,niko kwenye basi la kwenda karatu na wameandika kabisa ''usiteme mate ndani'', naogopa kupigwa faini! niwie radhi babu
Hhahahahaha.... kuna jamaa yangu ngoja nisimtaje jina, akivaa kiatu kwa masaa matano........... ngoja niishie hapo King'asti wangu asije akatapika....... Na hili jina lako............ ukiwa na njaa kulitamka si unataka kutusababishiana ajali za ulimi bure?
 
hehehe,babuuu! soksi kunuka ni tatizo kwa kweli,inaweza kusababisha miscarriage aisee! kuna mtu ananuka miguu hata hajavua viatu,akivua sijui inakuwaje!
babu hili jina linahitaji kulifanyia zoezi kwanza maana ni la kimang'ati! sasa nikikutajia la mzazi wangu wa kiume meno yanaweza kukudondoka!

Aiseee........... kuna wengine harufu inatoka hata akivaa kandambili lol......

Haya hilo jina nimekubali, na hiyo avatar nayo?.........kweli majaribu ni mtaji!
 
Eiyer kule kwangu washachafua khali duh kwel binadamu
 
mh,babu na ww! kwani bibi bado hajarudi?manake naona mawazo yanazidi kukata mawimbi! kama amekuachia gagulo nadhani its high time uanze kulinusa kabla hali yako haijakuwa hali ya hewa

Aiseee........... kuna wengine harufu inatoka hata akivaa kandambili lol......

Haya hilo jina nimekubali, na hiyo avatar nayo?.........kweli majaribu ni mtaji!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom