Eti anaipenda harufu yangu.....

Eti anaipenda harufu yangu.....

Heshima zenu waungwana.....Ilikuwa wikiendi hatari kabisa (ongeeni na TBL wafunge kiwanda kwa afya yangu LOL)

Ni hivi:

Bibi yenu amesafiri. Kilichoniacha hoi, eti ameondoka na shati langu ambalo halijafuliwa. Namuuliza kulikoni ananiambia anapokuwa mbali nami anapenda anuse shati langu ili aipate harufu yangu nafsi yake itulie. Anaipenda eti.

Hivi wanungwana, hii inaweza kuwa kweli au bibi yenu anataka kuniloga?...Kuna wengine ishawatokea hii? Eti nyie wa jinsia ya kike, huwa mnafanyaga hivyo?....Kama vipi jamani niwahi kwa Kakobe na Mama Rwakatare waniwekee kinga.

Babu anarudi kitandani kutafakari kwa kina.
Na harufu yangu.

Huna haja ya kupoteza muda na kina Kakobe na mama Rwakatare. Kuna kikombe cha Babu Samunge siku hizi.
 
Heshima zenu waungwana.....Ilikuwa wikiendi hatari kabisa (ongeeni na TBL wafunge kiwanda kwa afya yangu LOL)

Ni hivi:

Bibi yenu amesafiri. Kilichoniacha hoi, eti ameondoka na shati langu ambalo halijafuliwa. Namuuliza kulikoni ananiambia anapokuwa mbali nami anapenda anuse shati langu ili aipate harufu yangu nafsi yake itulie. Anaipenda eti.

Hivi wanungwana, hii inaweza kuwa kweli au bibi yenu anataka kuniloga?...Kuna wengine ishawatokea hii? Eti nyie wa jinsia ya kike, huwa mnafanyaga hivyo?....Kama vipi jamani niwahi kwa Kakobe na Mama Rwakatare waniwekee kinga.

Babu anarudi kitandani kutafakari kwa kina.
Na harufu yangu.

Babu umekuwa beberu??:mod::mod:
 
''kupendwa ndio huku, kupendwa kubebewa shatiiii, sio ww naniliii, kutwa kiguu na njia" < singing, kidole juu>
 
sasa ananipenda mimi au shati langu? LOL......... Nami ntaanza kutimka na gagulo lake.
 
Mabeberu ndo yana harufu mkuu...
(isije ikawa umekomaa mpaka uchina)
Na hii biashara ya kuitana mkuu kama jukwaa la siasa umeianza lini?.......Haya ka-esit fasta kabla sijakuchenjia.

Hivi kukomaa ni mpaka uende China?
 
babu, ww na shati lako mule mule. anakupenda hadi akiona kivuli chako tu anachanganyikiwa kwa harufu ya kivuli! una bahati babu,kuna wengine wakiskia harufu tu ya wenza wao wanaskia kichefuchefu!
sasa ananipenda mimi au shati langu? LOL......... Nami ntaanza kutimka na gagulo lake.
 
babu, ww na shati lako mule mule. anakupenda hadi akiona kivuli chako tu anachanganyikiwa kwa harufu ya kivuli! una bahati babu,kuna wengine wakiskia harufu tu ya wenza wao wanaskia kichefuchefu!
Kwa msisitizo huo......... vile vibaamedi vinavyojishongondoa kwangu leo vikinisogelea navibwenga makwenzi. Babu anaenda kwa bibi fulu fulu. Nimechoka kuchomeka hovyohovyo hiki kikojoleo changu kwenye vitoa mkojo vya wenyewe.
 
babu nilijua siku zote kuwa una busara za ziada. acana na hivyo vinuka mkojo,bibi anakupenda. ngoja ntamstua jinsi ya kukuibia mwenyewe manake najua tu unakuwaga na hamu ya kuibiwa ndo maana unaaza uchomekezi!!ngoja ntampa bibi manati (gagulo za kisasa) ili awe anakutega mumo humo!
Kwa msisitizo huo......... vile vibaamedi vinavyojishongondoa kwangu leo vikinisogelea navibwenga makwenzi. Babu anaenda kwa bibi fulu fulu. Nimechoka kuchomeka hovyohovyo hiki kikojoleo changu kwenye vitoa mkojo vya wenyewe.
 
Heshima zenu waungwana.....Ilikuwa wikiendi hatari kabisa (ongeeni na TBL wafunge kiwanda kwa afya yangu LOL)

Ni hivi:

Bibi yenu amesafiri. Kilichoniacha hoi, eti ameondoka na shati langu ambalo halijafuliwa. Namuuliza kulikoni ananiambia anapokuwa mbali nami anapenda anuse shati langu ili aipate harufu yangu nafsi yake itulie. Anaipenda eti.

Hivi wanungwana, hii inaweza kuwa kweli au bibi yenu anataka kuniloga?...Kuna wengine ishawatokea hii? Eti nyie wa jinsia ya kike, huwa mnafanyaga hivyo?....Kama vipi jamani niwahi kwa Kakobe na Mama Rwakatare waniwekee kinga.

Babu anarudi kitandani kutafakari kwa kina.
Na harufu yangu.

Harufu imeenda nae? duh bibi mbunifu aiseeeeeee.......Hii tunaiweka Guinnes mkuu maana mpya au tuanzishe ya kwetu? Tuiite Kampumu, Gongo au Chibuku World record?
 
babu nilijua siku zote kuwa una busara za ziada. acana na hivyo vinuka mkojo,bibi anakupenda. ngoja ntamstua jinsi ya kukuibia mwenyewe manake najua tu unakuwaga na hamu ya kuibiwa ndo maana unaaza uchomekezi!!ngoja ntampa bibi manati (gagulo za kisasa) ili awe anakutega mumo humo![/QUOTEUmeshachelewa............babu kishabadilika.....kisa? Harufu LOL
 
Heshima zenu waungwana.....Ilikuwa wikiendi hatari kabisa (ongeeni na TBL wafunge kiwanda kwa afya yangu LOL)

Ni hivi:

Bibi yenu amesafiri. Kilichoniacha hoi, eti ameondoka na shati langu ambalo halijafuliwa. Namuuliza kulikoni ananiambia anapokuwa mbali nami anapenda anuse shati langu ili aipate harufu yangu nafsi yake itulie. Anaipenda eti.

Hivi wanungwana, hii inaweza kuwa kweli au bibi yenu anataka kuniloga?...Kuna wengine ishawatokea hii? Eti nyie wa jinsia ya kike, huwa mnafanyaga hivyo?....Kama vipi jamani niwahi kwa Kakobe na Mama Rwakatare waniwekee kinga.

Babu anarudi kitandani kutafakari kwa kina.
Na harufu yangu.

kwani baaaabu huyo bibi ni ana kitumbo ndi'? manake hivi ni vimambo vya dalili za kazygoo...t.

ingekua kukuroga asingekuambia angebebe kimyakimya mweeeee. kama ndo TBL ni .......hahahhaha basi pengine analipeleka klwa mzee wa upako na ukijakulivaa tu hamu ya kitu ya brwn inakatika kabsaaaaaaa
 
MImi mume wangu anapenda sana harudu ya chupi yangu,,, tena nikitoka kuivaaa! Dunia ina mambo hii!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom