Eti ameniacha kisa kofi moja tu

Eti ameniacha kisa kofi moja tu

Hilo ni Liongo, Na umfate umzabe tena Eeeeeh maana hamna namna nyingne sasa Azabwe tu, Kitendo cha kudanganya kinachukiza sana, kwann adanganye c angesema ukweli, Nnaomba na mimi nije nimlapue, Mpuuzi mmoja huyo, Na msamaha usiombe, Aombe yeye Alaaaaaaa
 
pole kwa ufupi tu hakupendi. km angekua ndg yake asingedanganya. muv on kaka na shukuru mungu kakuonesha mapema kablan hujamuweka ndani. yupo mwingine mungu amekwandalia vuta subira
 
Ndio ivyo Ts over, makofi yameanza mapema hvyo ht ndoa bado. bora tu ajiondokee. Maana huko mbelen kutamshnda zaidi!!
 
Dear pole.. sikusapoti kwa kumpiga hata kidogo . Ila huyo hakuwa wako ... If the guy was his brother why she lied at the first place that she was at home ? Try to stop to call her and get back with her ... Apologize for slapped her but not to get back with her .. Be patient and yours is on the way ... Okay.. Thanks..
 
Mmh!..acha umbea umejuaje huko mbele kutamshinda kwani wwe una undugu na sheikh yahaya mtabiri:what:

My dear for what I have learned from abusive people .. Once they started they will never quit. Take from my experience.. Never take lightly even if is one slap either from man or woman ..please .. Atakuzika or utamzika.. na kama sivyo hivyo basi Mmmoja wapo ataishia hospital kilema... Thanks...
 
Acha uwoga wewe kwanza sijui hata kwann umemuomba msamaha, swali la msingi hapo ni kwann akudanganye yupo nyumbani nawakati yupo baa na kwa maana hiyo sasa kuna uwezekano wa asilimia kubwa sana hata alivyokwambia kuwa huyo jamaa ni kaka yake ikawa ni uongo mkubwa sana

Amemwambia ni kaka yake after two days of serious pondering and situation assessment. Kwanini hakuropoka palepale wakati amepigwa kibao ? Badala yake akaondoka kimya kimya akijifanya kasusa.
 
Dear pole.. sikusapoti kwa kumpiga hata kidogo . Ila huyo hakuwa wako ... If the guy was his brother why she lied at the first place that she was at home ? Try to stop to call her and get back with her ... Apologize for slapped her but not to get back with her .. Be patient and yours is on the way ... Okay.. Thanks..

teh teh teh...wanafunzi wa ras simba mna mbwembwe!!...mada si ya kiswahili hii?...elimika!
 
My dear for I learnt from abuse people .. Once they started they will never quit. Take from my experience.. Never take lightly even if is one slap either from man or woman ..please .. Atakuzika or utamzika.. na kama sivyo hivyo basi Mmmoja wapo ataishia hospital kilema... Thanks...

...for i learnt from abuse people...
basi sawa!
 
Acha uzuzu!!..miezi 3 ya mahusiano unafikiria ndoa?ndo mana unaomba msamaha kindezi!
nyaggad we!
 
Last edited by a moderator:
Hata ningekua mimi,kwanza umemuumiza pili umemdhalilisha mbele ya umati.mh! ngoja waje wakushauri mi tu umenisikitisha kwa uamuzi ulouchukua kwa kweli

Usilaumu ulipodondokea laumu ulipojikwaa. Ishu ni kwanini udanganye?
Na kama kile kikao kingekua na usalama lazima asingeficha.
Tupa kule. Wazuri bado wapo wengi sana kijana
Jiamini. Ova!
 
Back
Top Bottom