Eti ameniacha kisa kofi moja tu

Eti ameniacha kisa kofi moja tu

achana nae bwana..sio wako huyo, kama yuko na sijui kaka bar si angesema tu nipo bar fulani nimekaa na fulani, angesema ukweli tu..lakini wewe ulichokifanya sio sawa, hata kama umepata hasira namna gani hukutakiwa kumpiga, that is very disrespectful
 
unashangaza kweli wewe. kofi moja umeliona dogo ? tena mbele za watu. hapo hujamuoa ukimuoa si utamuua ? siku zote ukikurupuka huwezi kujua jambo. ulipaswa uwe na hekima ungeujua ukweli.
 
habari,wandugu natumaini mko poa, mmi nina mpenzi wangu tumekuwa nae kwenye mahusiano huu ni mwezi wa tatu,sio siri huyu binti nampenda sana, nimejitahidi kumhudumia kadri niwezavyo kwa mda mfupi nilikuwa nae, kwa sababu nina nia ya kumuoa,sasa juzi nilikuwa na rafiki yangu tupo maeneo ya sinza tukapita kwenye bar moja hivi ghafla nikamuona mpenzi wangu nae yupo mle ndani ya bar anakunywa kinywaji wakiwa wamekaa na mwanaume mmi simjui, ndipo nikaamua kumpigia simu mpenzi wangu nakumuuliza yuko wapi.

Akapokea simu nakunijibu yupo nyumbani kwao anapika na wakati minamuona yupo na kijeba wanakunywa vinywaji huku wanacheka, sio siri nilipatwa na hasira ndipo nikaamua kumtuma rafiki yangu akamuite ili niongee, aliponiona alishangaa na aliponisogelea2 sikumsemesha neno lolote nikampiga kofi moja la nguvu rafiki yangu akanishika mikono na watu wakajaa kidogo, nikaamua kuondoka na yule binti akawa amekipingia.

Sasa zimepita siku mbili yule binti nimempigia simu akapokea akaniambia yule alikuwa kaka yake mtoto wa baba yake mdogo na pia ameniambia mmi na yeye basi amesema hawezi kuishi na mtu kama mmi tena, nimejaribu kumuomba msamaha lakini wapi amekataa katakata, naombeni msaada wa mawazo jamani nifanyeje?

Eti kofi moja2 lini koseshe mke jamani?
kwani we mkurya?
 
Linaitwa 'mbata'

Hata miye ningekukataa, makofi barabarani kama umenioa.

Maeneo yenyewe ya sinza ambako sebule ni baa.
 
Ulikosea kumpigia simu kaka...ungekausha tu hata wiki 2-3 hivi kumpimia...sasa hii amishaona tayari ume-surrender.
 
Hao wanaomtetea huyu demu wote ni wanawake, na wanahisi labda alivyofanya ni sawa, vilevile ujue na wao ndi michezo yao hio, ya michepuko....sasa kama ni kaka yake kwa nini akudanganye,angesema tu....niko sehemu filani hapa na kaka yangu kanitoa nakunywa bia, sio kukudanganya...hii kumpiga inatokea sana, inakera sana mtu anapokua anakudanganya wakati unamuona nini anafanya, hata mimi lazima ningempa kipigo.
 
kwanza wew ulienda kiwanja hicho bila kumuaga, yaweza kuwa ni ndugu yake kweli ila aliona akikuambia utaanza kuhoji kwanini hajakuaga, huyo kakake ndo kamchana kive wew hufai kuwa shem ukimuoa utamgeuza ngoma na huna busara za kiuanaume
 
Hata Km Nngekuwa Mm Ndo Huyo Mschana Ncngekusamehe Hata Kidogo! We Si Unajifanya Bondia Kaish Na Mabondia Wenzio Wakna Francis Cheka
 


Eti Kofi moja2 lini koseshe mke jamani?


A man who cannot control is temper in not a good man.

UMEANZA KWA KUJITETEA ETI UNAKOSA MKE ILI UONEWE HURUMA THAT YOU HAD GOOD INTENTIONS WITH HER KUMBE WAPI ALL YOU WANT IS A SYMPATHY VOTE AND A WAY TO JUSTIFY YOUR ACTION. kabsaa eti kakofi kamoja ... kamoja leo kesho ngumi na mateke..

Ndio amekudanganya amekosea ila ilipaswa umhoji kwa kina ujue yule ni nani yuko nae pale and why amekudanganya kwamba yupo home.? Always learn to hear out someone before making a kutoa adhabu.
Unastahili kuachwa and you have trust issues na dharau kwa wanawake utafungwa siku moja usipoangalia na kuacha hi tabia.
 
Anakudanganya na akupendi huyo achana naye anakuzingua
 
Tatizo lenu nyie wanaume hamnaga jema,angesema yuko bar na kaka yake usingeamini nakuaza kuhoji vijiswali vya ajabu ajabu oh! kwann hujaniaga mara oh! nakuja hapo sasa hivi,sasa kama ckutaka ndugu zangu wakuone kwa muda huo c lazima niseme nko nyumbani tu yaishe!
 
Mwanamke anapigwa na khanga uache ufala kunyanyua mkono ovyo waweza geukwa njiani ukachezea vitasa vya ajabu....pili mwanamke akiringa dawa niku tyupa kuree maana angekuwa kaka yake kwann adanganye yko home...!!!! janjaruka mkuu wanawake ni wengi kuliko wanaume...amna haja yakuomba msamaha.
 
Hahahahhsahahaha we lazima utakua wa kanda ya ziwa maeneo ya akina mura .

Hahahahahaa
 
Achana naye!! huyo wala si kaka bali mla vitu
kama ni kaka yake kwa nini adangaye yuko hpome wakati yuko baa anagida vitu!!?????????? kalaghbaho! waliwa anakuepushia mengi huyo!!
 
Ndio nimemkosea lakini si nimemuomba msamaha!

Acha uwoga wewe kwanza sijui hata kwann umemuomba msamaha, swali la msingi hapo ni kwann akudanganye yupo nyumbani nawakati yupo baa na kwa maana hiyo sasa kuna uwezekano wa asilimia kubwa sana hata alivyokwambia kuwa huyo jamaa ni kaka yake ikawa ni uongo mkubwa sana
 
Umekosea kumwita maana hasira za mwanaume zinaishia kwa mikono, ungechat nae tu na kujifanya unataka kwenda huko kwao.
 
Back
Top Bottom